Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

sasa kwanini mnasema hapa oooh wamelipw tayari sijui nini...hayo yametoka wapi
Wapi niliposema wamelipwa? Mimi nilichokua nakisema ni kwamba anaesifiwa kwamba yupo vizuri katika mahakama za kimataifa hana uzoefu wowote ule...upo hapo mkuu?
 
kwa hiyo unataka kutuambia kodi zinalipwa kwa asilimia 100...kulingana na njia unayoisema...mbona hatukuwa na madege yote hayo na ma train na mameli na madaraja na mabarabara na elimu bure na madawa mengi hospitali na ma stiglers gorge na mengine mengi yataje tu
Wizi... kwa huyu, tuna 1.5T hazijulikani ziliko...
 
ndio maana ukaitwa minyoo...shida tupu..
Uwezo wa kufikiri umefika mwisho utahira umeamka acha kujitia Aibu na kuitia Aibu CCM maana imekuamini uitetee mitandaoni umeanza ufala badala ya kuitetea vilivyo, kipimo cha ujinga hapa Jf ni mwana jf kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani, Mbona ID yako ya kishamba hakuna mtu anahangaika nayo? Huku cha msingi ni hoja acha umbumbu wa kishamba toka kolomije jikite kwenye hoja pekee
 
unaweza eleza sababu ya ndege zetu kuachiwa kila zikikamatwa
Wanatumia Rushwa na gharama zingine nyingi, wewe ni mbumbumbu kilaza hakuna haja ya kukuelezea kirefu kwani ni vigumu uelewe vizuri.
 
sasa kwanini mnasema hapa oooh wamelipw tayari sijui nini...hayo yametoka wapi

Wewe ni mtu Mdogo huko CCM hawawezi kukuambia kitu lakini kwa taarifa yako mkulima wa kizungu kalipwa ndipo Ndege ikaachiwa ingawa profesa Kabudi kamuomba Mzungu akae kimya asitoe siri ili Kabudi aende mwanza kujimwambafy kuficha Aibu yao.
 
kwa hiyo unataka kutuambia kodi zinalipwa kwa asilimia 100...kulingana na njia unayoisema...mbona hatukuwa na madege yote hayo na ma train na mameli na madaraja na mabarabara na elimu bure na madawa mengi hospitali na ma stiglers gorge na mengine mengi yataje tu

Elimu bure hakuna madawati, Elimu bure mwaka wa nne walimu hawana nyongeza ya mishahara ndiyo maana shule za kata zote zinakuwa za mwisho kwenye mitihani, ununuzi wa Ndege na miradi yote kuna 10% za wajanja wachache ufisadi upo kila kona CCM ni ile ile hakuna unafuu
 
tofautisha matakwa ya kisheria na uhalisia wa kulipa kodi jomba...ingekuwa kama unavyosema saiz tungekuwa mbali mno...fikiri tena jomba then mwaga upupu wako

Wewe huna unachojua zaidi ya kuvuta Bangi kisha ukakariri ujinga toka kwa cyprian Musiba na kuja kuwasumbua watu mitandaoni
 
Leteni hati ya hukumu na cost za kesi acheni porojo.

Hati za hukumu za south africa na za canada ziko wapi? kwanini iwe siri wakati ni pesa za walipa kodi?

Mkulima kalipa garama za kesi? za kulala hotel za nyota 5 ujumbe wa kabudi South Na Canada?

Watanzania sio wajinga kiivyo.

Mkuu unaweza kupata hati hizo kwenye Mahakama zilizosikiliza kesi hizo.
 
Elimu bure hakuna madawati, Elimu bure mwaka wa nne walimu hawana nyongeza ya mishahara ndiyo maana shule za kata zote zinakuwa za mwisho kwenye mitihani, ununuzi wa Ndege na miradi yote kuna 10% za wajanja wachache ufisadi upo kila kona CCM ni ile ile hakuna unafuu

Mkuu una huo ushahidi wa 10%? Tuwekee na sisi tuuone? Huko ambako hakuna madawati kwa nini wananchi wa maeneo hayo hawachangii madawati? Watanzania tuwe wazalendo kwa watoto wetu.
 
unaweza eleza sababu ya ndege zetu kuachiwa kila zikikamatwa

Wewe kwanza ni mbumbumbu kilaza juha hata upewe sababu 100 hutakaa uelewe kwani hauishi kwa Akili zako za mungu unauishi kwa kukariri ujinga toka kwa cyprian Musiba na genge lake
 
Mkuu una huo ushahidi wa 10%? Tuwekee na sisi tuuone?

Mkuu ushahidi mojawapo ni kuachiwa Ndege, kitendo cha Ndege kuachiwa kimya kimya bila mbwembwe ina maana wamelipa kimya kimya lakini wakamuomba Mzungu apige kimya ili Kabudi aje huko mwanza kujimwambafy apate kuficha Aibu yao.
 
Ndege haikuachiwa bure ingawa watetezi wa CCM wanahaha kutengeneza propaganda za kila Aina waonekane wameipata Ndege bure bure, uzuri watanzania wa sasa siyo wajinga wanajua sinema zote za CCM A-Z wanajua CCM watakuja na maigizo ya kuwahadaa wananchi huko mwanza wapo tayari kusikia kujimwambafy kwa Kabudi lakini vichwani watabakia kuwaza vinginevyo.
 
Mkuu ushahidi mojawapo ni kuachiwa Ndege, kitendo cha Ndege kuachiwa kimya kimya bila mbwembwe ina maana wamelipa kimya kimya lakini wakamuomba Mzungu apige kimya ili Kabudi aje huko mwanza kujimwambafy apate kuficha Aibu yao.

Majungu hayo.
 
Majungu hayo.
Amini usiamini lakini watanzania wa sasa hawaishi kwa kuiamini CCM tena wewe ukiona majungu bakia hivyo hivyo lakini wengine wanaamini vinginevyo ni tofauti na zamani sasa watanzania wameamka hawakaririshwi Akili za wana CCM za zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM Taifa.
 
Back
Top Bottom