Kuachwa kunauma vibaya

Kuachwa kunauma vibaya

Hukuona dalili ? Siku nyingine ukiona tu dalili za kuachwa kimbia mbio nyingi sana na usigeuke nyuma,utakuwa jiwe chumvi.
 
Mwanaume unaachwaje kwa mfano?[emoji276]mwanaume ukiona dalili yeyote inayohashiria hatari kuwa wa kwanza kumpiga mtu chini kabla jua halijazama,maana yajayo yanafurahisha
Sio mwanaume huyo ni mwanamke
 
Tena pisi yenyewe ikiwa ni pisi kali,kitumbua mnato,viuno feni,Maumivu yake hayaelezeki mkuu,hasa pale unapowaza anatawanywa na mwingine.
 
Vijana wa hovyo! Unakimbilia mapenzi kwenye Mji wa kutafuta pesa! Unafanya vitu kinyume nyume, stop chasing after girls start attracting them! Tafuta pesa!
 
Back
Top Bottom