THE JAGGERS
JF-Expert Member
- Apr 3, 2023
- 545
- 410
Wakuu asiwaambie mtu kuachwa kunauma💔💔 vibaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akikuacha na wewe muache..Wakuu asiwaambie mtu kuachwa kunauma💔💔 vibaya
Ukiachwa achika.. Hukuzaliwa naye! Maumivu yataisha maisha yatasongaWakuu asiwaambie mtu kuachwa kunauma[emoji174][emoji174] vibaya
Hakikisha unaachika mkuuWakuu asiwaambie mtu kuachwa kunauma[emoji174][emoji174] vibaya.
Sio mwanaume huyo ni mwanamkeMwanaume unaachwaje kwa mfano?[emoji276]mwanaume ukiona dalili yeyote inayohashiria hatari kuwa wa kwanza kumpiga mtu chini kabla jua halijazama,maana yajayo yanafurahisha
Anakula mzigo alafu mkimaliza anakwambia haya nenda kuanzia leo usinijue na anakuburuza uondokeInategemea umeachwaje kuna ile unaachwa unasema asante mungu umenitua huu mzigo[emoji4][emoji4]
fafanua mkuu, kuachwa na ndege au treni.Wakuu asiwaambie mtu kuachwa kunauma[emoji174][emoji174] vibaya.
mkuu we acha tufafanua mkuu, kuachwa na ndege au treni.
JESUS Saves
akikuacha na wewe muache..
ukiachwa achika. Tena bora uachwe kuliko upigwe matukio
Tafuta hela, mwanaume haachwi anaacha
Una hoja.Tafuta hela, mwanaume haachwi anaacha