Kuachwa kwa Icard, chanzo ni Messi au Lopez?

Kuachwa kwa Icard, chanzo ni Messi au Lopez?

Bingwa wa kuchukua wake za watu,,,Mauro icard.

Heshima ni kitu cha msingi sana,yeye m'ke ya mtu na pesa ya mwanaume anachukua tu kuonesha ukidume wake wa mbegu ***** walahi huku niliko huyo mvaa kata kei,bishoo na mvaa mitepesho kichwa chake ingekuwa halali yetu.

Hebu imagine unachuka mke wa rafiki yako kabisa, hakyanani unyama unyama aliyeua auwawe.

Mimi Alisina ningemfunza adabu bwana mdogo huyo.
 
Nyie mnaojitangaza ndio waoga kabisa 😛😛
 
huyoooo mfia papuchi "" hafai kuitwa Argentina "" kama ameweza kumfanyia rafiki yake hivyo "" sio ajabu anaweza hata "" kupokeA muamala ili afungishe team " yake " ....apart from talent heshima na nidhamu nikitu muhimu mnoo kwa wachezaji"" ona amesabbisha mpka mwenzie kuweza kushuka kiuwezo "" uwanjani"" kwaajili ya tamaa zake
Habari yako kijana mwenzangu.

Jana nilikuwa natwanga story na rafiki yangu mkubwa shabiki wa soka kuhusu huyu bwana Icard,

Kwakweli hatukilifurahia jambo alilofanya Mauro kwa rafiki yake maxi,japo kuwa migogoro ya ndoa inamambo mengi mazito labda huenda mwanamke alikuwa kashachoka vimbwanga vya mumewe maxi lakini kuchukuliwa na kufunga ndoa na icard rafiki ,hii inachoma mno.

Kuna kipindi uwanjani shabiki kibao walikuwa wanamnyoshea kidole cha kati kama ishara ya kuchukizwa na kitendo kile cha kihuni.Labda huenda ujana changanya na balehe ya mwanzo mwanzo dakichache kichwa chini kinawaza ngonongono kila wakati na kubuni mikao adimu zaiidi ya wanamitindo vilichukua nafasi kubwa ya maamuzi aliyoyafanya.

Kwa kweli siungi mkono jambo hili popote pale mbaya zaiidi katika eneo la urafiki.

Respect,Respect,Respect!!!
 
150320160543-icardi-nara-super-169.jpg
 
Kumbe hili jamaa jinga kabsa, niliumia bure baada ya kutoitwa timu kama alichukua mke wa rafiki yake tena mchezaji mwenzake basi ni mara 100 asiitwe milele timu ya taifa ili liwe fundisho kwa Wajinga wenye tabia kama zake

Pumbaff kabsa limeniuzi hili dogo jinga kabsa
 
Mmoja wetu angekuwa ni kocha wa Argentina ungekuwa na nguvu ya kutomsikiliza Messi?
Nguvu uitoe wapi mkuu. Kama kajamaa kalitishia kustaafu tu mpaka Rais wa nchi akaenda kukapigia magoti sasa wewe kocha unajiamini nini?
 
Nguvu uitoe wapi mkuu. Kama kajamaa kalitishia kustaafu tu mpaka Rais wa nchi akaenda kukapigia magoti sasa wewe kocha unajiamini nini?
Argentina inahitaji zaidi kujengwa kisaikologia na kucheza kitimu,kuliko hata kumuhitaji Messi.Kocha akiweza kufanikisha hili,anaweza kumuacha Messi na Team ika perform vizuri tu.Tatizo la binadamu ni waoga wa ku adopt changes.Kumbuka Brazil 2002 walivyomuacha Romario na kumchukua Dinho,mpaka Rais alilalamika lakini kijana(Dinho) alipiga soka na wakarudi na kombe nyumbani,Unajua kilichotokea?,Watu wote walisahau na Kusharekea ubingwa.Messi amaweza kuachwa na team ikapata spirit ya ajabu na wakacheza vizuri kuliko hata sasa,Cha msingi kocha ajiamini na maamuzi yake tu.No one is irreplaceable .
 
Ni ngumu kutomskiliza Messi,Ni Wachache wanoweza kwenda tofauti na Messi ananafasi kubwa sana katika soka la sasa.
Kabisa Mkuu, watu wanaongea tu. Kwenda kinyume na Messi ni ngumu sana.
 
Suala la uitwaji wa Icardi halihusiani kabisa na suala la Max Lopez. Messi amekua na influence kubwa kwenye Argentina, bila yakuwa rafiki wa messi nafasi yako kwenye kikosi ni ndogo mno. Mascherano mpaka leo bado yupo kikosini.

Kiufupi Icardi ni striker bora kabisa number 9 ndani ya argentina kwa sasa. Higuain hamuwezi kabisa yule dogo. Lakini ndo higuain na Aguero ni marafiki wa messi. Hata Dybla ataishia kwenda kusugua bench tu huku messi na rafiki zake wakiwa uwanjani.
Halafu timu ikishafungwa huharakia kumfukuza kocha, wakati kocha mwenyewe alikua akipangiwa na messi kila kitu. washabadilisha karibu makocha wa 5 ndani ya miaka 8. Kwanini asitimuliwe Messi?
Tevez aliachwa kwa mda mwingi timu ya taifa kwasababu ana bifu na Messi.
Umeongea point sana mkuu yaani usipokuwa rafiki wa Lionel Messi utaishia kwenye training session kwenye game wanaume wapo, na hilo Max López lipo, Dyabala naye kaingizwa mwishoni baada ya watu wa AFA (ARGENTINA FOOTBALL ASSOCIATION) Kumpigia kelele Sampaoli Kwanini dogo hajumuishwi? Dyabala aliwahi kukiri kuwa hawajawahi kuongea na Lionel Messi tangu aitwe timu ya taifa zaidi ya kumuona akiwa mkimya sana na mwenye ushawishi mkubwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Argentina. Rejea sakata la Juan Roman Requelme kugoma kuvaa jezi nyingine zaidi ya No. 10 na Messi naye akakatalia hiyohiyo No. 10, timu ikaamua impe Messi. Tibuana na Messi huitwi timu ya taifa.
 
Argentina inahitaji zaidi kujengwa kisaikologia na kucheza kitimu,kuliko hata kumuhitaji Messi.Kocha akiweza kufanikisha hili,anaweza kumuacha Messi na Team ika perform vizuri tu.Tatizo la binadamu ni waoga wa ku adopt changes.Kumbuka Brazil 2002 walivyomuacha Romario na kumchukua Dinho,mpaka Rais alilalamika lakini kijana(Dinho) alipiga soka na wakarudi na kombe nyumbani,Unajua kilichotokea?,Watu wote walisahau na Kusharekea ubingwa.Messi amaweza kuachwa na team ikapata spirit ya ajabu na wakacheza vizuri kuliko hata sasa,Cha msingi kocha ajiamini na maamuzi yake tu.No one is irreplaceable .

Tatizo kuu la Argentina nii Messi. wakimtoa naamini timu itafanya vizuri.

Argentina imejaa talent players lakini wengi wanashindwa ku perform ndani ya nationality team. Sababu kuu focuser yote ipo kwa mtu mmoja. Makocha wao hua dhaifu sana mpaka kufikia kupelekeshwa vibaya na messi. Mpaka kikosi anaamua yeye.
Ni Team ndio inayowin Cup nasiyo single player.
 
Back
Top Bottom