BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Mimi mdau mkubwa wa hii kitu lakini ni zaidi ya wiki mbili sasa sio kwenye bar wala kiosk haipatikani inakuaje kitu Ina demand kubwa alafu ghafla usambazaji hakuna tena.
Value au Viceroy.Mimi mdau mkubwa wa hii kitu lakini ni zaidi ya wiki mbili sasa sio kwenye bar wala kiosk haipatikani inakuaje kitu Ina demand kubwa alafu ghafla usambazaji hakuna tena.
Mtumishi naenda kukushtaki kwa aposto wako sasa hivi.. HahahahaaaValue.
hanson choice ndio imekuwa adimu.
Hilo laini kwaajili ya viumbe nyie...😋Kunyweni flying fish na nyie.. lazima mnywe vikali kwani
Mbona haina ndevu mkuu 😀Hilo laini kwaajili ya viumbe nyie...😋
Mzigo bado upo jikoni, Production imechelewa kidogo.Mimi mdau mkubwa wa hii kitu lakini ni zaidi ya wiki mbili sasa sio kwenye bar wala kiosk haipatikani inakuaje kitu Ina demand kubwa alafu ghafla usambazaji hakuna tena.
Mimi mdau mkubwa wa hii kitu lakini ni zaidi ya wiki mbili sasa sio kwenye bar wala kiosk haipatikani inakuaje kitu Ina demand kubwa alafu ghafla usambazaji hakuna tena.
Wamesema eti sio fahari kufa na figo zote nzima 😀 watatuchosha wauguzajiDialysis ni 750K kwa week vijana!!
Mbinguni tutapata mwili mpya, kula ujanaWamesema eti sio fahari kufa na figo nzote nzima 😀 watatuchosha wauguzaji
Dialysis ni 750K kwa week vijana!!
Mnajuaga kujitetea 😀😀Sidhan kama unajua kuwa 80% ya wanaoumwa Figo haihusiani na Pombe.
Figo zinafail kufanya kazi kwa sababu ya high blood pressure(sababu kuu) na Kisukari.
Na sababu nyingne ni sumu (kutumia madawa bila mpangilio na bila kiasi) au kupungua kwa kinga za mwili.
Kwahiyo Uwe unakunywa pombe au haunywi. Unaweza kuumwa figo.
Au mtu anywe pombe yenye sumu.
Ila kama pombe iko salama. Haiwez kukuumiza figo.
Wanatisha vijana .😂😂😂Mnajuaga kujitetea 😀😀
Kazi kwetu wanywa panadol kila mara 😀Wanatisha vijana .😂😂😂
Organs za mwili zina kinga kubwa sana. Kuliko kitu chochote kwenye mwili wa binadamu.
Sasa mtu anaogopa kunywa pombe wa sababu anasema inaua figo. Ni uwongo 😂😂😂😂.
Unaweza usinywe na ukaumwa kama kinga zako zimepungua.
Na unaweza ukawa mlevi umbwa kabisa na tatizo la figo lisikupate kama kinga zako ziko imara.
Value mkuu choice Ina harufuValue au Viceroy.
hanson choice ndio imekuwa adimu.