BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
- Thread starter
- #21
Valuer huku mtaani imekuwa hadimuKama ni Valuer
Ile kitu siyo poa
Inachukua na ina hangover kali
Valuer huku mtaani imekuwa hadimuKama ni Valuer
Ile kitu siyo poa
Inachukua na ina hangover kali
Mbinguni tutapewa mwili mpyaDialysis ni 750K kwa week vijana!!
Uwe na kilo za nyama ya kutosha pembeni tena iwe ya kubanika sio ya kuchemsha au kukaangwa ndio utaenjoya hapa unagonga nyama ya kubanika hapa unasukumua Valuu kitu ndani ya box unashangaa umekata chupa 3 kubwa bila kutarajia sasa wewe kunywa Valuu halafu nenda kale Ugali Maharage utasimuliaKama ni Valuer
Ile kitu siyo poa
Inachukua na ina hangover kali
Energy drinks nazo zinachangia sana kuharibu vijana.Dialysis ni 750K kwa week vijana!!