Kuadimika kwa pombe kali inayoanza na herufi V.

Mimi mdau mkubwa wa hii kitu lakini ni zaidi ya wiki mbili sasa sio kwenye bar wala kiosk haipatikani inakuaje kitu Ina demand kubwa alafu ghafla usambazaji hakuna tena.
Mzigo bado upo jikoni, Production imechelewa kidogo.

Soon utaupata mtaani, Relax endelea kutumia vinywaji mbadala kwa saa hadi hapo mzigo utakapoingia sokoni.

Warning! Pombe kali ni hatari kwa Afya yako, ni bora usinywe kabisa kuliko kunywa kistaarabu.
 
Dialysis ni 750K kwa week vijana!!

Sidhan kama unajua kuwa 80% ya wanaoumwa Figo haihusiani na Pombe.

Figo zinafail kufanya kazi kwa sababu ya high blood pressure(sababu kuu) na Kisukari.
Na sababu nyingne ni sumu (kutumia madawa bila mpangilio na bila kiasi) au kupungua kwa kinga za mwili.

Kwahiyo Uwe unakunywa pombe au haunywi. Unaweza kuumwa figo.

Au mtu anywe pombe yenye sumu.
Ila kama pombe iko salama. Haiwez kukuumiza figo.
 
Mnajuaga kujitetea πŸ˜€πŸ˜€
 
Mnajuaga kujitetea πŸ˜€πŸ˜€
Wanatisha vijana .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Organs za mwili zina kinga kubwa sana. Kuliko kitu chochote kwenye mwili wa binadamu.

Sasa mtu anaogopa kunywa pombe wa sababu anasema inaua figo. Ni uwongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Unaweza usinywe na ukaumwa kama kinga zako zimepungua.

Na unaweza ukawa mlevi umbwa kabisa na tatizo la figo lisikupate kama kinga zako ziko imara.
 
Kazi kwetu wanywa panadol kila mara πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…