Uwe na kilo za nyama ya kutosha pembeni tena iwe ya kubanika sio ya kuchemsha au kukaangwa ndio utaenjoya hapa unagonga nyama ya kubanika hapa unasukumua Valuu kitu ndani ya box unashangaa umekata chupa 3 kubwa bila kutarajia sasa wewe kunywa Valuu halafu nenda kale Ugali Maharage utasimulia