Kuagiza bidhaa Alibaba

Kuagiza bidhaa Alibaba

Nami nimeagiza sn nd still bado naagiza
Ilifikajee sasa!? Maana Mimi najua lazima uwe na sanduku la posta ambalo mzigo wako utafikia,,hebu tupe maujanja inawezekana sisi tunazunguka sana aisee
 
Sanduku la posta kama mzigo ni mkubwa bado linalazimika? Mi najua namba ya simu active na kujaza location ulipo ndio muhimu zaidi. Wengi huwa wanajaza ilimradi sababu mzigo ukifika unapigiwa simu
 
Mimi hapo kwenye sanduku la posta ni pagumu
 
Nauliza pia Garama za kuunlock simu ni TSH ngapi?
 
Back
Top Bottom