Kuagiza chakula online Hapa Dar

Huwa unaagiza wapi? Mimi huwa natumia duka direct au piki na ninachokipata ni kile nikichoagiza. Ila siwezi kusema sana maana mostly huwa naagiza orchid, patio,chinese dragon,epi'dor na kfc dependa na mood ya siku, kuna baadhi ya restaurants ukiagiza unaenjoy vinalingana na gharama na kile unachotegemea kukipata
 
Mkuu lakini sisi wote tumelelewa kwenye maadili ya dini mbili nzuri ya kikristo na kiislamu inakuwaje hatuwi waaminifu???
 
Bongo unaeza agiza Biriani online ukaisubiri mpaka ifike tayari njaa imepoa au ushajilia vitu vingine ushashiba zako.. Yani Kuna muda unasubiri msosi hadi unaamua upige simu ucancel order na huo ndo muda wanaokwambia boda ameshatoka yuko road msubiri anafika saivi tu ila mpaka afike sasa….. Doooh πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Nimejumuisha single mother coz walio wengi hawana malezi mazuri kwa watoto wao na kukosa malezi bora ndo kumepelekea watu kukosa uwaminifu na tabia za hovyo ktk jamii kipi nimekosea apo ?
 
Location pia ...unakaa wapi? Kwa Dar wanaokaa upanga,posta kinondoni Wana nafuu...
Ukikaa Kimara, Kigamboni na kongowe hizo restaurants zina deliver?
 
Location pia ...unakaa wapi? Kwa Dar wanaokaa upanga,posta kinondoni Wana nafuu...
Ukikaa Kimara, Kigamboni na kongowe hizo restaurants zina deliver?
Huwa naagiza nikiwa ofisini, nikiwa nyumbani napendelea kupika kama ni cha nje huwa nakifata huko huko unless nikitaka kuwaagizia watoto KFC au marry brown huwa wanafanya delivery.
 
Tumia QUICKDROP hii inatumika ukiwa maeneo ya post ,Upanga ina search restaurants zilizopo karibu na ww
 
Bodaboda akisikia harufu la biriyani anaamua kupaki aanze kula.
Uamunifu Bado ni kitu adimu sana hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…