Kuagiza gari hadi kulipia kodi ya bandari

Hii process watu wengi wamekuwa wakizifanya toka miaka ya 90 ila tu sikuhizi kumekuwa na madalali wamefungua makampuni ya kuagizia watu kama Uyoga maana imeonekana bado kuna wajinga wengi.

Kimsingi ni biashara ambayo ina hela sababu ukiagiza magari continously unaweza claim discount kwa suppliers walioko Japan wakawa wanakupa bei zilizopoa au commission based on Sale ya kila gari kwenye fleet yao.
 
Nashukuru Mungu mwaka jana nimeweza kuagiza gari mwenyewe BE FORWARD kwa kutumia laptop yangu nikaenda kulichukua mwenyewe, changamoto niliyoipata ni pale Be Forward unapochukulia gari huwa kuna madalali wa ufundi wengi kila mtu anataka akufanyie service ila kama unafundi wako basi unaondoka nalo, mimi nilikuta battery imeisha na tairi zote zimeisha so ikabidi nizinunue hapo hapo kwenye yale maduka.
 
CIF ya kwenye invoice ya gari ikiwa kubwa kuliko CIF iliyotumika kwenye calculator ya TRA , TRA atatumia ipi kupata kodi yake????
 
Uko sahihi, ukishalipia kodi zote na usajili. Beforward watamalizana na TPA na kuitoa gari yako.

Watakupa invoice ukalipe jumla ya gharama zao na zile za TPA.

Hapo utakabidhiwa gari yako ikiwa na namba zake kila kitu.
Befoward kwa sasa hv gharama zao za kutoa gari kama wakala ni kiasi gani ukiachana na za TPA na TRA?
 
Nashukuru Mungu mwaka jana nimeweza kuagiza gari mwenyewe BE FORWARD kwa kutumia laptop yangu nikaenda kulichukua mwenyewe, changamoto niliyoipata ni pale Be Forward unapochukulia gari huwa kuna madalali wa ufundi wengi kila mtu anataka akufanyie service ila kama unafundi wako basi unaondoka nalo, mimi nilikuta battery imeisha na tairi zote zimeisha so ikabidi nizinunue hapo hapo kwenye yale maduka.
Wakala alikutoza kiasi gani?
 
Hawakuweka gharama za uwakala hata kama ilikuwepo ni kidogo sana ukicompare na mwakala wengine
Kwa hiyo ulivyowalipa CIF yao pamoja na makorokocho mengine baada ya gari kufika bandarini tu wakakukabidhi gari yako?
 
Kuna kulipia kodi ya gari unafanyia bank baada ya kupata hizo documents huwa zinakuja kabla ya gari then kama kutakuwa za bandari utapewa document za kwenda kulipia bank then baada ya hapo unaenda beforward posta kuchukua kadi ya gar na number ya gar baada ya hapo unaenda kwenye yard yao kuchukua gari yako na kuondoka nayo
 
Pamoja sana Mkuu
 
Back
Top Bottom