Kuagiza gari hadi kulipia kodi ya bandari

Kuagiza gari hadi kulipia kodi ya bandari

Kuna kulipia kodi ya gari unafanyia bank baada ya kupata hizo documents huwa zinakuja kabla ya gari then kama kutakuwa za bandari utapewa document za kwenda kulipia bank then baada ya hapo unaenda beforward posta kuchukua kadi ya gar na number ya gar baada ya hapo unaenda kwenye yard yao kuchukua gari yako na kuondoka nayo
Mchqkato wa lupata documents za gari wanakufanyia beforward?
 
Back
Top Bottom