Kuagiza gari nje ya nchi ujipange (2024/25 FY)

Kuagiza gari nje ya nchi ujipange (2024/25 FY)

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Wale wote wanataka kuagiza magari nje ya nchi mwaka ujao wa fedha wajipange maana Dr wa Uchumi (PhD) First class ameongeza tozo ya kuchangia ujenzi/maendeleo ya reli (1.5% mpaka 2.0% ya CIF) katika kodi utakazolipia.

2. Usiseme hukuambiwa, watu wanataka kununua majumba Dubai na kuongeza Yutong (Dar-Kiomboi). Esta-blish Express!
 
Waeleze kwa mifano kuwa ile gari tunayo idharau sana watanzania, MWIGULU kaifikisha hapa. Na sasa hivi kuagiza mwenyewe lazima zikutoke 18M ukiogopa ukaenda Yard nenda na 20M
Screenshot 2024-06-20 134520.png
 
1. Wale wote wanataka kuagiza magari nje ya nchi mwaka guinea fedha wajipange maana Dr wa Uchumi (PhD) First class ameongeza Kodi ya kuchangia ujenzi wa reli (1.5% mpaka 2.0% ya CIF) katika kodi utakazolipia.

2. Usiseme hukuambiwa, watu wanataka kununua majumba Dubai na kununua Yutong (Dar-Manyoni).
Hivi mpaka leo bado kuna watu wanaagiza magari asia na ulaya...bull shit!

South hamuioni au nani kawaroga, ukitaka gari classic used au zero km unashuka south hapo chap unaingia show room unavuta chuma lako unawapa malekezo ya destination yako wanakukodia hadi dereva wa kusafirisha gari lako mpaka ulipo ndio system inavyoenda siku hizi.

Huko bandarini kumejaa madalali mpaka chooni isitoshe bandari yenyewe ishauzwa wewe ulifikiri vitu vitakua rahisi, hiyo tayari ni empire ya mwarabu kwa sasa.
 
Mbona hata huko kodi unalipa mzee, au haujui kuwa wazee wa mapato wapo Boda hapo.
 
Back
Top Bottom