Sijajua jibu lako lina maana gani; kuna watu wengine mnadakaia mambo kijinga sana. Sasa "THUBUTU YAKO" maana yake ni nini.
Mimi nilimwuliza
byakunu anifanyie makabdirio ya gari hii, ambayo CIF yake ni $33,465
View attachment 3027874
Yeye akanieletea
mrejesho huu ambao umetumia CIF US$19,627
View attachment 3027876
Sasa nilipomuwliza iwapo gari ikishafika afisa wa customs anaweza kuja na nanamba inayozidi hapo kutokana na kuwa CIF value ya kjwenye bill of lding itakuwa ni juu ya hiyo namba iliyotumika kwenye calculations za makadiriao, wewe unakuja na jibu la kijinga tu -eit "THUBUTU YAKO". Kama ulikuwa hujui swali lilolulizwa usijaribu kulijibu kwani utajionyesha ujinga wako.