Hivi mpaka leo bado kuna watu wanaagiza magari asia na ulaya...bull shit!1. Wale wote wanataka kuagiza magari nje ya nchi mwaka guinea fedha wajipange maana Dr wa Uchumi (PhD) First class ameongeza Kodi ya kuchangia ujenzi wa reli (1.5% mpaka 2.0% ya CIF) katika kodi utakazolipia.
2. Usiseme hukuambiwa, watu wanataka kununua majumba Dubai na kununua Yutong (Dar-Manyoni).
Ila wewe dada una kalio kubwa sanaKununua gari Kuu kuu kwa shosti yako Kidawa
Ndo maana watu wanakua weziGari bongo ni anasa, kwa hali hii tutakuja kununua IST bei ya Outlander
Mbona hata huko kodi unalipa mzee, au haujui kuwa wazee wa mapato wapo Boda hapo.Hivi mpaka leo bado kuna watu wanaagiza magari asia na ulaya...bull shit!
South hamuioni au nani kawaroga, ukitaka gari classic used au zero km unashuka south hapo chap unaingia show room unavuta chuma lako unawapa malekezo ya destination yako wanakukodia hadi dereva wa kusafirisha gari lako mpaka ulipo ndio system inavyoenda siku hizi.
Huko bandarini kumejaa madalali mpaka chooni isitoshe bandari yenyewe ishauzwa wewe ulifikiri vitu vitakua rahisi, hiyo tayari ni empire ya mwarabu kwa sasa.
Mcheki bwashee wa TemekeKuna namna yoyote ile ninaweza nikaagiza gari ndani ya nchi?