Kuagiza gari nje ya nchi ujipange (2024/25 FY)

Waziri anakoipeleka Nchi anajua mwenyewe kila kukicha kodi inaongezeka kwenye magari badala ya kupunguza ili Wananchi watumie vyuma vizuri kama wao yeye anataka yeye tu ndio atumie gari za maana ila Wananchi wajibane kwenye bajaji na boda boda wakati gari nje huku bei ya kuokota tu..ukitaka kununua gari ya kuja Tanzania unaanza kuangalia TRA wanasemaje wakati Zambia wana kodi rafiki sana na wanatumia gari nzuri kuliko wenye Bandari...
 
Waeleze kwa mifano kuwa ile gari tunayo idharau sana watanzania, MWIGULU kaifikisha hapa. Na sasa hivi kuagiza mwenyewe lazima zikutoke 18M ukiogopa ukaenda Yard nenda na 20M
View attachment 3021409
Mzee wangu,

Hebu nisaidie mahesabu ya hili pickup ambalo ninataka kupelekeka kijijini. Nisije nikapoteza dola zangu $33,000 halafu kumbe kodi ya kukombolea ni kubwa sana ikanishinda

 
Ukiwa unalipa kodi za TRA huku ili liweze kusajiliwa, hakuna hiyo Railway Development Levy? I'm asking for a friend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…