Tatizo ni hilo tu watu hatukatai kulipa kodi ila unalipa mwenzako anachukua annunua apartment dubai hayo ndio yanayoumiza na kuvunja moyoIngekua hiyo kodi inaenda kweli yote kwenye maendeleo sio mbaya ila watu wanazipiga na kununua ma yutong wanaishi maisha ya kifahari huku sisi tunakufa na shida
Thubutu yakoAsante sana ndugu yangu. Je afisa wa forodha anaweza kuzibadilisha kwa vile CIF yangu halisi kwenye bill of lading itakuwa ni $33,000+, lakini table uliyonikokotolea hapo juu inatumia CIF ya $19,000+ tu. Kuna shida hapo?
Sijajua jibu lako lina maana gani; kuna watu wengine mnadakaia mambo kijinga sana. Sasa "THUBUTU YAKO" maana yake ni nini.Thubutu yako
Mkuu hapo usiwaze sana. Ukweli ni kwamba watu wa ushuru watakokotoa kodi upya kulingana na CIF ya gari na kodi itapanda. Ila kuna namna ukiongea na wanaokuuzia gari, mambo hukaa sawa.Sijajua jibu lako lina maana gani; kuna watu wengine mnadakaia mambo kijinga sana. Sasa "THUBUTU YAKO" maana yake ni nini.
Mimi nilimwuliza byakunu anifanyie makabdirio ya gari hii, ambayo CIF yake ni $33,465
View attachment 3027874
Yeye akanieletea mrejesho huu ambao umetumia CIF US$19,627
View attachment 3027876
Sasa nilipomuwliza iwapo gari ikishafika afisa wa customs anaweza kuja na nanamba inayozidi hapo kutokana na kuwa CIF value ya kjwenye bill of lding itakuwa ni juu ya hiyo namba iliyotumika kwenye calculations za makadiriao, wewe unakuja na jibu la kijinga tu -eit "THUBUTU YAKO". Kama ulikuwa hujui swali lilolulizwa usijaribu kulijibu kwani utajionyesha ujinga wako.
TRA Wana mkeka wa Bei tayari. Hawategemei Bei iliyopo kwenye document zako. Gari hata kama ulipewa Zawadi (O CIF) unakutana na Kodi ya kuchangia ununuzi wa apartment)Mkuu hapo usiwaze sana. Ukweli ni kwamba watu wa ushuru watakokotoa kodi upya kulingana na CIF ya gari na kodi itapanda. Ila kuna namna ukiongea na wanaokuuzia gari, mambo hukaa sawa.
Hatari sana, ngoja nibaki na harrier yangu old model, maana nilitaka niuze niagize nyingine.Waeleze kwa mifano kuwa ile gari tunayo idharau sana watanzania, MWIGULU kaifikisha hapa. Na sasa hivi kuagiza mwenyewe lazima zikutoke 18M ukiogopa ukaenda Yard nenda na 20M
View attachment 3021409
Hatuna ubavu, sisi bado sanaTufanye migomo kama Watu wa Kenya ndo tutaweza ku survive vinginevyo tutanyooka kama rula
Una huo uzoefu? Sasa fanya hivyo uone kitakachokukuta. Tuliopitia hayo tunaongea kulingana na uzoefu. Nunua gari ambayo CIF yake inaizidi ya TRA kisha subiri assessment ya TRA itasemaje. Utarudi kutoa matusi hapa.TRA Wana mkeka wa Bei tayari. Hawategemei Bei iliyopo kwenye document zako. Gari hata kama ulipewa Zawadi (O CIF) unakutana na Kodi ya kuchangia ununuzi wa apartment)
Bei za kwenye mkeka wa TRA ndio sahihi hawategemei Bei ya kwenye document zakoUna huo uzoefu? Sasa fanya hivyo uone kitakachokukuta. Tuliopitia hayo tunaongea kulingana na uzoefu. Nunua gari ambayo CIF yake inaizidi ya TRA kisha subiri assessment ya TRA itasemaje. Utarudi kutoa matusi hapa.
SawaBei za kwenye mkeka wa TRA ndio sahihi hawategemei Bei ya kwenye document zako
Roho ya umasikini.Waziri anakoipeleka Nchi anajua mwenyewe kila kukicha kodi inaongezeka kwenye magari badala ya kupunguza ili Wananchi watumie vyuma vizuri kama wao yeye anataka yeye tu ndio atumie gari za maana ila Wananchi wajibane kwenye bajaji na boda boda wakati gari nje huku bei ya kuokota tu..ukitaka kununua gari ya kuja Tanzania unaanza kuangalia TRA wanasemaje wakati Zambia wana kodi rafiki sana na wanatumia gari nzuri kuliko wenye Bandari...
Laptop zilikua zinaingia bila kodi jamaa akaona arudishe kodi yaani kila akikaa anchofikiri ni kuongeza kodi tu kila kukicha...
Kuna ubaya? Kumbuka 2030 sio mbaliLaptop zilikua zinaingia bila kodi jamaa akaona arudishe kodi yaani kila akikaa anchofikiri ni kuongeza kodi tu kila kukicha...
2030-2040 Mwigulu RaisKuna ubaya? Kumbuka 2030 sio mbali
Mkuu hapo usiwaze sana. Ukweli ni kwamba watu wa ushuru watakokotoa kodi upya kulingana na CIF ya gari na kodi itapanda. Ila kuna namna ukiongea na wanaokuuzia gari, mambo hukaa sawa.
TRA Wana mkeka wa Bei tayari. Hawategemei Bei iliyopo kwenye document zako. Gari hata kama ulipewa Zawadi (O CIF) unakutana na Kodi ya kuchangia ununuzi wa apartment)
Una huo uzoefu? Sasa fanya hivyo uone kitakachokukuta. Tuliopitia hayo tunaongea kulingana na uzoefu. Nunua gari ambayo CIF yake inaizidi ya TRA kisha subiri assessment ya TRA itasemaje. Utarudi kutoa matusi hapa.
Bei za kwenye mkeka wa TRA ndio sahihi hawategemei Bei ya kwenye document zako
πππππππ2030 Mwamba atakua kakusanya matrilioni tayari ya kuandika majina kwenye mawe
Tatizo umoja hakuna, unadhani wabongo watakitokeza?Tufanye migomo kama Watu wa Kenya ndo tutaweza ku survive vinginevyo tutanyooka kama rula