Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Sasa tuongelee majiko niliyoyanukuu au manasi na mabwawa ambayo mimi sijakataa.Yeye anajisemea mwenyewe , uhalisia ni kwamba 99% hawana majiko ya umeme, na nikaongezea, hata kwa walionayo, bado umeme ni ghali kuliko gesi. Na nikaeleza utofauti uliopo kwenye Mabasi ambayo ni mradi wa serikali na bwawa ni la serikali, hivyo wanaweza kuweka bei maalum ya umeme kwa ajili ya mabasi kumpa nafuu msafiri, kuliko kufungulia maji yamwagike bure
Ongezea pia umeme ni bei rahisi kuliko diesel.Sababu zipo wazi,
1.) watu tayari wameshatumia pesa nyingi kununua mitungi na majiko ya gesi, hivyo hakuna mwenye pesa ya mchezo kununua tena majiko ya umeme.
2.) Umeme bado ni ghali ukilinganisha na gesi.
- Ila kwa mradi wa mwendokasi ni tofauti, mabasi ndio tunanunua sasa hivi , hivyo tuna nafasi ya kuchagua aina ya mabasi tunayohitaji.
- Mradi ni wa serikali na bwawa la umeme ni la serikali, na kwakuwa kwa sasa umeme ni mwingi kuliko mahitaji, serikali inaweza kupeleka umeme wa special tarrif kwa mabus ya umeme ili kuleta unafuu kwa wananchi kuliko kufungulia mabwawa kama walivyofanya rufiji na kuacha umeme upoteee bure na kuleta mafuriko..
Tuongelee nini zaidi ya ambacho nimeshakieleza..Sasa tuongelee majiko niliyoyanukuu au manasi na mabwawa ambayo mimi sijakataa.
Hapo umefafanua vizuri.., itashangaza sana kama tutaacha umeme wa Rufiji umwagikie chini na kuleta mafuriko..Ongezea pia umeme ni bei rahisi kuliko diesel.
Kwa mchajo mmoja wa lisaa unaweza kupata km 400,500 na kuendelea, umeme hapo sidhani kama umemaliza wa elfu 10, tufanye wa 20 kabisa, sasa elfu 20 inakupa kilometa 500, je kilometa hizo kwa diesel si ni mafuta ya laki na ushehe huko.
Kutokuwa ya umeme wala siyo shida, kwa sababu itahitaji maandalizi mapya ya hayo magari ya kutumia umeme na labda itachukua muda kulingana na mahitaji ya usafiri.Utaahira upo wa aina nyingi, pia upo utaahira binafsi na utaahira jumuishi (Communal insanity).
Sifahamu bado kama mabasi yaliyoagizwa kwa ajili ya kutumika kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka wa Mbagala kwamba ni ya Diesel au ya umeme (Rechargeable); ila kama kweli tutakuwa tumeagiza mabasi ya kutumia mafuta ya diesel yanayo tugharimu pesa nyingi za kigeni kuyaagiza, yanayosababisha gharama za usafirishaji kuwa kubwa na kuchafua maazingira, ilihali mitambo mingi ya kufua umeme imezimwa kwa sababu ya umeme kuzidi mahitaji, na hii ni baada ya mtambo mmoja tu kati ya 9 ya bwawa la Nyerere kuwashwa, basi itakuwa ni kipimo cha kutosha cha utaahira jumuishi cha waTanganyika.
Ni hayo tu.
Kwa nini wengine wapate anasa ya mabasi ya umeme wakati wenzao wanatumia vibatari?Ni mdogo?, sasa kwanini ulipowashwa mtambo mmoja tu kati ya 9 ilibidi wazime mitambo mingine sababu uzalishaji umezidi? Pia kwakuwa kuna watu hawana umeme basi ndio tuache kununua mabasi ya umeme? Kwamba haya mabasi yanazuia nini hao wasio na umeme kupewa umeme?
Watu wana majiko ya umeme ambayo walikuwa wanayatumia na sasa hivi yamebakia kuwa kama mapambo na unavyosema kwamba watu wameshanunua majiko ya gesi na mitungi ni sawasawa na kusema sababu watu wameshapata ukimwi waendeleze ngono.....Sababu zipo wazi,
1.) watu tayari wameshatumia pesa nyingi kununua mitungi na majiko ya gesi, hivyo hakuna mwenye pesa ya mchezo kununua tena majiko ya umeme.
Ni ghali sababu inabidi uwe ghali au ni ghali sababu ya walamba asali ? Na je ukiingiza dollar tunazotumia kuagiaza hio LPG huoni kwamba in the long run Gesi ni gharama..., na je vipi katika efficiency ya kupika keki (oven) kuchemsha maji (jug kettle) kuwarm chakula (microwave) food processing, blender n.k. je umeme bado ni ghali (sababu hapo naongelea ufanisi)2.) Umeme bado ni ghali ukilinganisha na gesi.
Hakuna aliyesema tutumie diesel tunaweza kutumia hata CNG yaani kutofanya kule au kufanya huku haimaanishi tusifanye hapa- Ila kwa mradi wa mwendokasi ni tofauti, mabasi ndio tunanunua sasa hivi , hivyo tuna nafasi ya kuchagua aina ya mabasi tunayohitaji.
Hata Tanesco ni ya Serikali na Serikali ni ya wenye nchi ambao ni wananchi kwahio inapaswa wala sio ombi kuhakikisha gharama ya nishati ni nafuu..., na ni upuuzi kutumia pesa za misaada na kodi kupigia chapuo wasambazaji wa gesi ya watu wa ughaibuni...- Mradi ni wa serikali na bwawa la umeme ni la serikali, na kwakuwa kwa sasa umeme ni mwingi kuliko mahitaji, serikali inaweza kupeleka umeme wa special tarrif kwa mabus ya umeme ili kuleta unafuu kwa wananchi kuliko kufungulia mabwawa kama walivyofanya rufiji na kuacha umeme upoteee bure na kuleta mafuriko..
Serikali inafanya kila iwezalo kuzuia matumizi ya gesi sababu waliopo seriakalino wananufaika na uagizaji mafuta. Omba kuanzisha vitu vya kubadili mitungi ya hesi kwenye magari uone balaa lakeKutokuwa ya umeme wala siyo shida, kwa sababu itahitaji maandalizi mapya ya hayo magari ya kutumia umeme na labda itachukua muda kulingana na mahitaji ya usafiri.
Lakini, jambo linalonishangaza ni hali ya serikali na mashirika yake pamoja na Watanzania kutobadili magari yao kuwa ya mfumo wa gesi asilia yenye ufanuu zaidi kuliko hata umeme.
Kwenda na kurudi kwa safari ya Dar - Moro kwa kutumia kati ya shilingi 35,000 hadi 40,000 inashangaza mno kuona bado yuko Mtanzania ambaye gari lake halitumii mfumo wa gesi.
Hata makusanyo ya siku moja ya taksi inayotumia gesi ni zaidi ya daladala kadhaa. Hivyo, kabla hatujaiwazia serikali tujiulize na raia kwanini gari zetu hazijawekwa mfumo wa gesi?
Ova
Hata hizi njia za sasa zinaweza kuwekewa overhead powelines kwa baadae ili tusitumie mabasi ya kucharge, hivyo hakijaharibika kitu..Ukitaka kujua km serikali ya Tz inaongozwa na viongozi wajinga angalia barabara za mwendokasi za Mwenge - Tegeta na K'koo - Mbagala,, tyr tuna umeme wa kutosha,,why hawakuwaza kujenga reli tuwe na SGR ya Town Trip km ilivyo Dubai na Metro or Abu Dhami walivyo na Emirates? Ukiifatilia serikali yetu utaumia kichwa na kutoboa moyo wako
Serikali inafanya kila iwezalo kuzuia matumizi ya gesi sababu waliopo seriakalino wananufaika na uagizaji mafuta. Omba kuanzisha vitu vya kubadili mitungi ya hesi kwenye magari uone balaa lake
Dah! Uje uanzishe uzi wake. Kwa nini nishati ya umeme isiwe rahisi ili tutumie majumbani ili ku-suplement gas mana gas ipo juu piaKutumia mabasi ya umeme bado sana, kuwa na umeme mwingi siyo kigenzo, jiulize mbona majumbani hatupikii majiko ya umeme na tunayo?
Mtu kutoa 2mil. kwa pamoja kufunga mfumo wa gesi ni mtihani mzito..Ni kweli, lakini ni gari ngapi binafsi zina mfumo huo? Na sisi wananchi shida yetu iko wapi? Labda kama taifa tuna tatizo la kuishi kimazoea?
Kwamba serikali na taasisi zake na raia tumeshazoea hali hivyo ilivyo na tunaogopa kubadilisha? Kwanini sisi raia hatuchangamkii hii nafuu?
Ova
Turahisishe mazungumzo. Gesi na Umeme vyote ni mbadala mzuri wa diesel, ila napendekkea zaidi umeme sababu utumikaji wake kwenye vyombo vya usafiri ni rahisi zaidi, ndio maana SGR imefungwa motor za umeme, pia kwa sasa umeme tunao wa kutosha na wa bei nafuu.Watu wana majiko ya umeme ambayo walikuwa wanayatumia na sasa hivi yamebakia kuwa kama mapambo na unavyosema kwamba watu wameshanunua majiko ya gesi na mitungi ni sawasawa na kusema sababu watu wameshapata ukimwi waendeleze ngono.....
Ni ghali sababu inabidi uwe ghali au ni ghali sababu ya walamba asali ? Na je ukiingiza dollar tunazotumia kuagiaza hio LPG huoni kwamba in the long run Gesi ni gharama..., na je vipi katika efficiency ya kupika keki (oven) kuchemsha maji (jug kettle) kuwarm chakula (microwave) food processing, blender n.k. je umeme bado ni ghali (sababu hapo naongelea ufanisi)
Hakuna aliyesema tutumie diesel tunaweza kutumia hata CNG yaani kutofanya kule au kufanya huku haimaanishi tusifanye hapa
Hata Tanesco ni ya Serikali na Serikali ni ya wenye nchi ambao ni wananchi kwahio inapaswa wala sio ombi kuhakikisha gharama ya nishati ni nafuu..., na ni upuuzi kutumia pesa za misaada na kodi kupigia chapuo wasambazaji wa gesi ya watu wa ughaibuni...
Unajua watu wanatoa shilingi ngapi kufunga sound za akina Dick Sound? Au wanatoa shilingi ngapi kwa garage za Wachina ili kuunda mwonekano wa mbele wa gari zao ili ziwe kama toleo la sasa?Mtu kutoa 2mil. kwa pamoja kufunga mfumo wa gesi ni mtihani mzito..
Sasa sio wote wanatumia pesa nyingi kwenye hizo anasaUnajua watu wanatoa shilingi ngapi kufunga sound za akina Dick Sound? Au wanatoa shilingi ngapi kwa garage za Wachina ili kuunda mwonekano wa mbele wa gari zao ili ziwe kama toleo la sasa?
Kuna tabia tU za mazoea, gharama huwa kisingizio tu.
Ova