Kuagiza mabasi ya mwendokasi ya dizeli baada ya kukamilika kwa Bwawa la Nyerere itakuwa ni kipimo cha ujinga kwa Watanzania

50 Units Electric Buses Equipped Microvast Fast Recharging Battery Systems Start Operation in South Korea
21 December 2023​

Recently, 50 units electric buses equipped with Microvast 299 kWh fast recharging battery systems officially started operation in South Korea, upgrading the country’s green public transport network. Everyday, each bus drives nearly 18 hours with a mileage of about 300 km. By getting fast recharged twice or three times each day, it can fully meet the daily operation requirements.
20231221102105646.jpg

In earlier 2018, a batch of new energy buses equipped with Microvast power batteries started operation in South Korea. So far, they have been working smoothly for over five years. Microvast has obtained the certificate from South Korean Ministry of Land and Resources. It fully meets the the requirements of power performances, cold endurance performances, and energy efficiency for new energy vehicles in South Korea.
20231221102122791.jpg

By the end of November this year, a total number of over 700 units new energy buses equipped with Microvast power battery systems had been put into services in 15 cities on 69 bus routes across South Korea. To seek green and sustainable development, South Korea has been actively involved in promoting commercial operation of electric city buses.
20231221102156451.jpg

Microvast is specialized in developing and marketing fast-recharging battery systems. So far, it has exported its products to 34 countries, working smoothly on new energy powered heavy-duty trucks, light trucks, city buses, passenger vehicles, engineering machinery and energy storage.

👆Hapo ni South Korea, ka purchase battery buses from China. Tukisema viongozi wa tz ni wajinga , munasema hatuna adabu
 
Sababu zipo wazi,
1.) watu tayari wameshatumia pesa nyingi kununua mitungi na majiko ya gesi, hivyo hakuna mwenye pesa ya mchezo kununua tena majiko ya umeme.

2.) Umeme bado ni ghali ukilinganisha na gesi.

- Ila kwa mradi wa mwendokasi ni tofauti, mabasi ndio tunanunua sasa hivi , hivyo tuna nafasi ya kuchagua aina ya mabasi tunayohitaji.

- Mradi ni wa serikali na bwawa la umeme ni la serikali, na kwakuwa kwa sasa umeme ni mwingi kuliko mahitaji, serikali inaweza kupeleka umeme wa special tarrif kwa mabus ya umeme ili kuleta unafuu kwa wananchi kuliko kufungulia mabwawa kama walivyofanya rufiji na kuacha umeme upoteee bure na kuleta mafuriko..
Utashangaa utakapojua kuwa kuweka na kuhudumia miundombinu muafaka kwa usafiri huo linakuwa changamoto kubwa sana katika nchi hii. Linahusisha gharama kubwa zilizofichika kwenye ujenzi, mitambo, service, maintenance, repair and replacement.

Ukisikia au kuona nchi zilizoendelea zinakuwa na huduma za umma za hali ya juu 24/7, jua kuna gharama kubwa sana zisizoonekana (sunk and hidden costs) zinazoingiwa kila siku pamoja na ufanisi wa hali ya juu wa watendaji. Sisi likijengwa daraja, flyover barabara, n.k. basi tunajua imeisha tunabakia na nyimbo za majukwaani.
 
Tutaagiza magari ya umeme lakini yatakua yanachajiwa na jenereta za diesel
 
Utaahira upo wa aina nyingi, pia upo utaahira binafsi na utaahira jumuishi (Communal insanity).

Sifahamu bado kama mabasi yaliyoagizwa kwa ajili ya kutumika kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka wa Mbagala kwamba ni ya Diesel au ya umeme (Rechargeable); ila kama kweli tutakuwa tumeagiza mabasi ya kutumia mafuta ya diesel yanayo tugharimu pesa nyingi za kigeni kuyaagiza, yanayosababisha gharama za usafirishaji kuwa kubwa na kuchafua maazingira, ilihali mitambo mingi ya kufua umeme imezimwa kwa sababu ya umeme kuzidi mahitaji, na hii ni baada ya mtambo mmoja tu kati ya 9 ya bwawa la Nyerere kuwashwa, basi itakuwa ni kipimo cha kutosha cha utaahira jumuishi cha waTanganyika.

Ni hayo tu.

Nila shaka utakuwa umeangalia kwenye gharama za uendeshaji nasio sababu za kimazingira,Je unaweza kutudadavulia ni kwa kiasi gani Mabasi ya umeme yatakuwa nafuu kwa yale ya diesel per mileage energy consumption?
 
Ukitaka kujua umeme ni cheaper kuliko diesel, jiulize kwanini umeme ukikatika ndio wenye maahotel wanawasha diesel generator.., ila ukirudi wanazima. Pia diesel tunaagiza, hivyo tutaokoa fedha za kigeni
 
Umeme tunaozalisha bado ni mdogo sana. Kwanza karibu 40% ya watu hawana umeme. Tupeleke umeme kwa watu wote. Tuzalishe mwingi na kushusha bei ili watu wapike na wafue kwa umeme. Kwenye suala la umeme tuna safari ndefu sana.
 
Sababu zipo wazi,
1.) watu tayari wameshatumia pesa nyingi kununua mitungi na majiko ya gesi, hivyo hakuna mwenye pesa ya mchezo kununua tena majiko ya umeme.

2.) Umeme bado ni ghali ukilinganisha na gesi.

- Ila kwa mradi wa mwendokasi ni tofauti, mabasi ndio tunanunua sasa hivi , hivyo tuna nafasi ya kuchagua aina ya mabasi tunayohitaji.

- Mradi ni wa serikali na bwawa la umeme ni la serikali, na kwakuwa kwa sasa umeme ni mwingi kuliko mahitaji, serikali inaweza kupeleka umeme wa special tarrif kwa mabus ya umeme ili kuleta unafuu kwa wananchi kuliko kufungulia mabwawa kama walivyofanya rufiji na kuacha umeme upoteee bure na kuleta mafuriko..
"jiulize mbona majumbani hatupikii majiko ya umeme na tunayo?"
"hivyo hakuna mwenye pesa ya mchezo kununua tena majiko ya umeme". Kuwa makini unachojibu, amekuambia majiko ya umeme tunayo lakini hatuyatumii, wewe unasema hatuna pesa ya kununua majiko ya umeme! Yapi tena wakati tunayo!
 
Kuna sababu nyingi za kutumia Generators na si pekee ya fuel cost,most Gen zimekuwa designed for temporary use,Some European countries wamekuwa driven na electric vehicle to reduce carbon emissions on air na si kwa low bills,Of course kwa ulaya charging electrical vehicles tends to more expensive than using fuels,and more inconveniences on long trips,unaweza jikuta safari ya miles 600 unatakiwa usimame njiani for recharging battery na hapo utapoteza muda na ni expensive vile vile,Before jumping to an easy conclusion factor ya Kuwasha diesel gen umeme ukikatika na Kuzimua,Bado Haitoshi,tupe more convincing reasons
 
Namba 1 do your research wengi tuna majiko yenye plate za gas na za umeme, hatupikii umeme na majiko tunayo kwa sababu umeme ni ghali.

Isitoshe kama kweli tuna umeme mwingi na Rea imefika vijijini kampeni ingekuwa kusambaza majiko ya umeme vijijini lakini ninachokiona ni Taifa gas na Oryx wanashindana kugawa mitungi midogo ili gas ikiisha waanze kuwauzia gas Watanzania maskini wakati solution ni kushusha bei ya umeme tupikie umeme na gas.

Watanzania wanaogopa hata kufunga Ac majumbani kwa sababu ya bei ya umeme.

Magufuli aliahidi bwawa la Nyerere likikamilika bei ya umeme ni lazima ishuke kina January Makamba ndio kwanza wakapandisha bei.

Hizi takataka za ccm mpaka tuzifurushe madarakani ndio tutaenjoy nchi yetu.
 
Naungana naww kutumia umeme kupikia kupunguza carbon emission,Sina Uhakika kama umeme nighali zaidi Tanzania kuliko nchi zengine za east Afrika ila nnauhakika Europe umeme NI ghali zaidi maradufu ya Tanzania,One point to note,Nimeona Rais Samia akinadi Gas kama matumizi ya nishati Safi ya kupikia lkn ukweli nikwamba gas si nishati Safi ya kupikia kwa mazingira although Sio sawa na kuni na mkaa,Dunia sasa inaondokana na gas na kuintrduce kuichanganya gas natural na hydrogen ili kuounguza carbon Emission na wanakwenda mbali zaidi wanaphase out vifaa vya gas na kuweka renewable energy ili kupunguza au kuondokana na carbon emissions by 2050,hata majiko ya sasa ya umeme yanayotoka yanakuwa na better energy consumption,Swala la CCM kutoka madarakani kwa namna ulivyoeleza Hilo nakiachia wewe unajua zaidi
 
Umeme tunaozalisha bado ni mdogo sana. Kwanza karibu 40% ya watu hawana umeme. Tupeleke umeme kwa watu wote. Tuzalishe mwingi na kushusha bei ili watu wapike na wafue kwa umeme. Kwenye suala la umeme tuna safari ndefu sana.
Ni mdogo?, sasa kwanini ulipowashwa mtambo mmoja tu kati ya 9 ilibidi wazime mitambo mingine sababu uzalishaji umezidi? Pia kwakuwa kuna watu hawana umeme basi ndio tuache kununua mabasi ya umeme? Kwamba haya mabasi yanazuia nini hao wasio na umeme kupewa umeme?
 
"jiulize mbona majumbani hatupikii majiko ya umeme na tunayo?"
"hivyo hakuna mwenye pesa ya mchezo kununua tena majiko ya umeme". Kuwa makini unachojibu, amekuambia majiko ya umeme tunayo lakini hatuyatumii, wewe unasema hatuna pesa ya kununua majiko ya umeme! Yapi tena wakati tunayo!
Yeye anajisemea mwenyewe , uhalisia ni kwamba 99% hawana majiko ya umeme, na nikaongezea, hata kwa walionayo, bado umeme ni ghali kuliko gesi. Na nikaeleza utofauti uliopo kwenye Mabasi ambayo ni mradi wa serikali na bwawa ni la serikali, hivyo wanaweza kuweka bei maalum ya umeme kwa ajili ya mabasi kumpa nafuu msafiri, kuliko kufungulia maji yamwagike bure
 
Kuna sababu nyingi za kutumia Generators na si pekee ya fuel cost,most Gen zimekuwa designed for temporary use,Some European countries wamekuwa driven na electric vehicle to reduce carbon emissions on air na si kwa low bills,Of course kwa ulaya charging electrical vehicles tends to more expensive than using fuels,and more inconveniences on long trips,unaweza jikuta safari ya miles 600 unatakiwa usimame njiani for recharging battery na hapo utapoteza muda na ni expensive vile vile,Before jumping to an easy conclusion factor ya Kuwasha diesel gen umeme ukikatika na Kuzimua,Bado Haitoshi,tupe more convincing reasons
Hapo ukichoonhea walau cha maana kidogo ni hiyo kwamba huwezi kwenda 600miles, ila unasahau kwamba basi la BRT hata likitembea siku nzima hapa Dar halifikishi 600miles, hivyo usiku wakati limepaki litakuwa linachajishwa, asubuhi linaamshwa.
 
Namba 1 do your research wengi tuna majiko yenye plate za gas na za umeme, hatupikii umeme na majiko tunayo kwa sababu umeme ni ghali.

Isitoshe kama kweli tuna umeme mwingi na Rea imefika vijijini kampeni ingekuwa kusambaza majiko ya umeme vijijini lakini ninachokiona ni Taifa gas na Oryx wanashindana kugawa mitungi midogo ili gas ikiisha waanze kuwauzia gas Watanzania maskini wakati solution ni kushusha bei ya umeme tupikie umeme na gas.

Watanzania wanaogopa hata kufunga Ac majumbani kwa sababu ya bei ya umeme.

Magufuli aliahidi bwawa la Nyerere likikamilika bei ya umeme ni lazima ishuke kina January Makamba ndio kwanza wakapandisha bei.

Hizi takataka za ccm mpaka tuzifurushe madarakani ndio tutaenjoy nchi yetu.
Unarudia nilichosema tayari, kwamba umeme ni ghali kuliko gesi, ndio maana watu wanatumia gesi zaidi. Ila nikaeleza tofauti ya kwenmye mabasi ni kwamba, mabasi ni ya serikali na bwawa ni la seriakali, hivyo wanaweza kuweka bei maalum ya chini ya umeme kwa mradi wa mabasi pekee, kuliko kufungulia mabwawa na kuyaacha maji yamwagike na kuketa mafuriko huku umeme ukipotea bure, au kulazimika kuzima mitambo kama walivyofanya sababu umeme umezidi..
 
Back
Top Bottom