Duuh!!humu kuna watu wanadandia gari kwa mbele halafu wanajifanya wajuaji ile mbaya!! Na ni hao hao ukiwaambia kuna sungura anauzwa zaidi ya laki mbili au mbwa anayeuzwa zaidi ya milioni tatu watakimbizana hapa kukejeli!! Kama hujui uliza kabla otherwise pita kimya!..mkuu BUKUJERO nasikia maeneo ya veternary temeke wanatoa vibali vya kuagiza wanyama hai unaweza anzia hapo! Kuna mdau kashauri kuhusu SUA, pale wana breed nzuri ya sungura ila nilipita pale last week wakasema hawauzi hadi december, kuhusu mbwa unaweza jaribu kenya au south africa kwani wana pure breed aina zote ambao wanakubaliana na hali ya hewa ya tz, kenya kuna jamaa wana germany shepherd, rottweiller, great dane etc, na bei ni kuanzia kshs 65, 000 (tshs 1, 170, 000/-) kuendelea kutokana na umri na breed,..interested ...pm nitakutumia contact!
Jamani..huwa kuna mbwa na koko!! Msichanganye....