Kuagiza Mbwa na Sungura kutoka nje ya nchi

Kuagiza Mbwa na Sungura kutoka nje ya nchi

Hana jipya viela vyake vya kuunga unga eti mbwa na sungura kutka ulaya njoo huk kigoma mimbwa na misungura imejaa kibao.
 
Duuh!!humu kuna watu wanadandia gari kwa mbele halafu wanajifanya wajuaji ile mbaya!! Na ni hao hao ukiwaambia kuna sungura anauzwa zaidi ya laki mbili au mbwa anayeuzwa zaidi ya milioni tatu watakimbizana hapa kukejeli!! Kama hujui uliza kabla otherwise pita kimya!..mkuu BUKUJERO nasikia maeneo ya veternary temeke wanatoa vibali vya kuagiza wanyama hai unaweza anzia hapo! Kuna mdau kashauri kuhusu SUA, pale wana breed nzuri ya sungura ila nilipita pale last week wakasema hawauzi hadi december, kuhusu mbwa unaweza jaribu kenya au south africa kwani wana pure breed aina zote ambao wanakubaliana na hali ya hewa ya tz, kenya kuna jamaa wana germany shepherd, rottweiller, great dane etc, na bei ni kuanzia kshs 65, 000 (tshs 1, 170, 000/-) kuendelea kutokana na umri na breed,..interested ...pm nitakutumia contact!

Jamani..huwa kuna mbwa na koko!! Msichanganye....
 
we km co mchaw bac punguwani, umeacha mbwa kibao tu kule iringa afu unajfanya much know, km una hela sana njoo nikuuzie
 
Duuh!!humu kuna watu wanadandia gari kwa mbele halafu wanajifanya wajuaji ile mbaya!! Na ni hao hao ukiwaambia kuna sungura anauzwa zaidi ya laki mbili au mbwa anayeuzwa zaidi ya milioni tatu watakimbizana hapa kukejeli!! Kama hujui uliza kabla otherwise pita kimya!..mkuu BUKUJERO nasikia maeneo ya veternary temeke wanatoa vibali vya kuagiza wanyama hai unaweza anzia hapo! Kuna mdau kashauri kuhusu SUA, pale wana breed nzuri ya sungura ila nilipita pale last week wakasema hawauzi hadi december, kuhusu mbwa unaweza jaribu kenya au south africa kwani wana pure breed aina zote ambao wanakubaliana na hali ya hewa ya tz, kenya kuna jamaa wana germany shepherd, rottweiller, great dane etc, na bei ni kuanzia kshs 65, 000 (tshs 1, 170, 000/-) kuendelea kutokana na umri na breed,..interested ...pm nitakutumia contact!

Jamani..huwa kuna mbwa na koko!! Msichanganye....
Asante sana mkuu, nitashukuru nikipata contacts
 
Nilijua tuu hawa wakina Rweyemamu,Rutashobwya,....wanasumbua kweli....,Ila tuwazoee jamani ndio kawaida yao!

Kesho atatuma Thread humu ya kuomba ushauri atumie noti ngapi za shilingi elfu kumi (10000) ili aweze kuwasha jiko lake...,

Kama sio hivyo ataomba mumwelekeze saluni gani UK au Ufaransa wanahuduma nzuri ya kunyoa.
 
mbwa ni wa kwangu, sungura ni wa kwangu. sina nia ya kumnunulia mtu yeyote hapa jf, kwanini roho ikuume? mnashinda vijiweni badala ya kutafuta pesa. wenzenu wanatafuta jinsi ya kutafuta walichokipata we unaumia nn.... **** zenu nyie
Money Stunna mtena breki sifungi
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,
Ninahitaji kuagiza mbwa kutoka ujerumani pia ninahitaji kuagiza sungura kutoka newzealand kwaajili ya kufuga. Naombeni mnisaidie ninawezaje kupata viumbe hao toka nchi tajwa.

Kuna kampuni unayoifaham ambayo huwa inasafirisha wanyama? Asante

we lazima utakuwa muhaya...wakora waitu kaboneke
 
Back
Top Bottom