Blog
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 320
- 129
jamani mpeni ushauri Rweyemamu apate hao mbwa siyo kumdiss
Hahahah mkuu umeona jamaa ni wa kule kina BISHAINGA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani mpeni ushauri Rweyemamu apate hao mbwa siyo kumdiss
Asante sana mkuu, nitashukuru nikipata contactsDuuh!!humu kuna watu wanadandia gari kwa mbele halafu wanajifanya wajuaji ile mbaya!! Na ni hao hao ukiwaambia kuna sungura anauzwa zaidi ya laki mbili au mbwa anayeuzwa zaidi ya milioni tatu watakimbizana hapa kukejeli!! Kama hujui uliza kabla otherwise pita kimya!..mkuu BUKUJERO nasikia maeneo ya veternary temeke wanatoa vibali vya kuagiza wanyama hai unaweza anzia hapo! Kuna mdau kashauri kuhusu SUA, pale wana breed nzuri ya sungura ila nilipita pale last week wakasema hawauzi hadi december, kuhusu mbwa unaweza jaribu kenya au south africa kwani wana pure breed aina zote ambao wanakubaliana na hali ya hewa ya tz, kenya kuna jamaa wana germany shepherd, rottweiller, great dane etc, na bei ni kuanzia kshs 65, 000 (tshs 1, 170, 000/-) kuendelea kutokana na umri na breed,..interested ...pm nitakutumia contact!
Jamani..huwa kuna mbwa na koko!! Msichanganye....
Sungura wapo Sunguratex
sungura wamejaa vijiji vyote tanzania mbwa hadi mtaani wapo wanazurura why kuagiza nje
Wakuu,
Ninahitaji kuagiza mbwa kutoka ujerumani pia ninahitaji kuagiza sungura kutoka newzealand kwaajili ya kufuga. Naombeni mnisaidie ninawezaje kupata viumbe hao toka nchi tajwa.
Kuna kampuni unayoifaham ambayo huwa inasafirisha wanyama? Asante
mbwa ni wa kwangu, sungura ni wa kwangu. sina nia ya kumnunulia mtu yeyote hapa jf, kwanini roho ikuume? mnashinda vijiweni badala ya kutafuta pesa. wenzenu wanatafuta jinsi ya kutafuta walichokipata we unaumia nn.... **** zenu nyie
Money Stunna mtena breki sifungi
**** maqosawa omulangira Rweyemamu obakeise bona.wasalimie wote hapo katerero
**** maqo
DHL si dhani kama wanasafirisha viunbe Hai.