King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
Habari za muda wakuu.
Hapa nimepata fursa nzuri kidogo ambayo natarajia kuifanya lakini sitaki kukurupuka.
iko hivi , kuna rafiki yangu yuko canada nimemwomba anitaftie computer for parts(spare) kwa bei ya chini kwasababu kule vitu ni rahisi kidogo na akishazipata azipack halafu tuangalie namna tunaweza kuzifikisha Tanzania.
Jamaa amenisaidia kwa muda kidogo na hiyo kazi kwa upande wa canada imekamilika 89%. Na jamaa yuko huko kikazi bado hajawa mzoefu wa mambo ya clearing and forwarding. sasa nataka nijue gharama nitakazotumia kusafirisha na kodi ya TRA kwa sababu kila nikipiga namba za TRA hazipokelewi na mimi siwezi kwenda phisically kwasababu niko mbali kidogo na ofisi zao.
Na kama kuna mtu alishafanya hivyo aniambie changamoto nini na aliwezaje kufanikiwa kwa kutumia njia rahisi na zenye gharama ndogo hopefull jamiiforums tunawatu waliojaribu maisha kwa namna nyingi .
ni hilo tu wakuu muwe na siku njema.