Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 563
- 1,567
Wakuu,
Naomba mnisaidie au mawazo yenu pia, nilikuwa na lengo la kwa muda sasa la kununua pikipiki aina ya Sanlg kwa sababu ya shughuli zangu na sababu za kupoint SANLG ni kampuni inayotoa Product nzuri kwa pikipiki zenye hekaheka kubebea mizigo n.k ni vumilivu sana. Nilipanga nichukue mwezi wa 6 mwishoni hivi nikawa nimeghairi na kufanya jambo jingine, lakini juzi nilipoulizia bei, na jana ya tarehe 10/08/025 nimeshangaa sana bei.
Mwanzo: Nilipouliza mwezi Juni, bei ilikuwa TZS 2.4M.
Sasa: Bei imepanda hadi TZS 3.4M kwa mwezi Augosti.
Sasa najiuliza — hii tofauti ya zaidi ya milioni moja imetokana na nini? Je, ni ushuru? gharama za usafirishaji? au kuna mabadiliko mengine ya soko?
Mimi ni mpenzi wa Sanlg, siyo pikipiki nyingine.
Naomba mwenye uelewa wa gharama za kuagiza pikipiki moja moja kutoka nje na kuileta Tanzania anisaidie kujua na kost zake.
Je, kuagiza moja kwa moja kutoka nje kunaweza kunigharimu chini ya bei ya sasa ya dukani? Au ni ghali zaidi?
Kuna mtu anayeweza kuniconnect na waagizaji waaminifu na wanaotambulika?
Kama gharama ni kubwa kuliko dukani, basi nijue mapema niachane na wazo la kuagiza.
Nitashukuru sana kwa michango yenu.