FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Za meno ya tembo au?
...are cannibals..., ...own species...ccm is cannibal tribe
an animal that feeds on the fresh of its own special.Watatula watatumaliza
hehehe...! una utani wa kweli wewe...!Umesahau kuna kuku wanatoka Brazil na USA
Hautakiwi kulalamika ndugu! tumia fulsa kwa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza hizo toothstick uondokana na umaskini.Kuna vitu vingi hapa bongo hatuna kama mtaji unao kanunua machine china uje kututengenezea tena kwa bei rahisi upige pesa.
minaona bora hizo toothpicks zitoke china ili tusiharibu miti yetu ! maana kuni tu zinateketeza misitu sembuse hizo toothpicks tena hazina umuhimu kivile !
Duhh kweli kizungu kizunguzungu.Jameni toothpick zinatengenzwa kutokana na bamboo siyo miti
Mie naomba kuuliza kwa mwenye kufahami policy ya Tz kwenye cortage industry ikoje, maana bibadhaa nyingi toka China inatoka kwenye hizi cortage industry
Nimeshtuka sana leo baada ya kuona toothpick nilizonunua kwa mangi eti zime-andikwa made in China..!! sasa magari tunaagiza.., mafuta tunaagiza.., hata gesi ambayo tunayo tunaagiza.., sasa ndio hadi vijiti vya kuchokonolea meno tu tuagize....???!!!!!, jamani jamani..., hivi alieturoga amefariki kwani..???!