Kuagiza Toothpick za meno toka China, hivi inamaana alieturoga amekufa au?

Kuagiza Toothpick za meno toka China, hivi inamaana alieturoga amekufa au?

mbona kuna kiwanda cha toothpick hapa bongo! btw, hata us kuna viwembe imported, ina maana wao wanashindwa kutengeneza viwembe vya kunyolea ndevu? hayo ndiyo mambo ya soko huria! hizi nazo ni fursa, kiwanda kidogo cha kutengeza toothpicks ni around milioni kumi, fursa hizo!

Magogo yako kwenye list ya "mali asili" upatikanaji wake sasa
 
Magogo yako kwenye list ya "mali asili" upatikanaji wake sasa

kwani utatumia magogo ya mninga, kata miembe na mikaratusi, wachina mbona wananunua miembe kwa watu wanakata tu bila vibali vyovyote! toothpick bora kabisa ni za mianzi, mianzi ni bure tu!
 
kwani utatumia magogo ya mninga, kata miembe na mikaratusi, wachina mbona wananunua miembe kwa watu wanakata tu bila vibali vyovyote! toothpick bora kabisa ni za mianzi, mianzi ni bure tu!

Hiyo machine inapatikana wapi? Vifungashie navyo si issue? Naonaga wasagaji unga TRA wanawapigiza kodi kwenye vifungashio toka Kenya kwa sababu Kenya waliagiza malighafi nje ya East Africa
 
Hiyo machine inapatikana wapi? Vifungashie navyo si issue? Naonaga wasagaji unga TRA wanawapigiza kodi kwenye vifungashio toka Kenya kwa sababu Kenya waliagiza malighafi nje ya East Africa

watengenezaji wa vifungashio mbona wapo wengi tu! mashine zinaanzia 18M cif dar kwa seti ambayo inajumuisha mashine za kukata,kuchana, kusize, na kuchonga.
 
Kinacho takiwa ni kutumia hizo Furusa, Kuagiza matunda kutoka nje si dhani kama kuna Mbongo alisha zalisha matunda yake na akapeleka Shoprite waka yakataa, Ila kulalamika ndo Jadi,

Mkuu maduka kama yale wanataka bidhaa zenye ubora na si bidhaa za kuunga uunga, Na usijidanganye unaweza okota okota matunda halafu ukasafirisha nje,

Tunashindwa kutumia hizo furusa kuzalisha bidhaa bora tunabakia kulalamika,
 
nahisi ww ndio umerogwa zaidi kuliko watz wote. kama umeona kuna fursa ya kutengeneza hiyo kitu home kwanini usiitumie hiyo fursa? mabadiliko yataletwa na sisi wenyeww. naona watu washaanza kuingiza na vyama.
 
Watu mnasema saaaana. Sasa wataka nani ajenge kiwanda cha toothpick? Kwanini usijenge wewe ulete hiyo tofauti unayotaka. Au wewe umeandikiwa kuwa mtumiaji tu. Hizo nyembe wadhani wanatengeneza kwa shoka? Tunalalama kwa kushangaa kwamba hatuna hiki, huku tumepweteka tunahesabu wafanyavyo wenzetu nasi hatufanyi chochote. Wewe unafurahi tu kuona Azam kafungua kiwanda cha Unga, juice au TV.
 
Jameni toothpick zinatengenzwa kutokana na bamboo siyo miti

Mie naomba kuuliza kwa mwenye kufahami policy ya Tz kwenye cortage industry ikoje, maana bibadhaa nyingi toka China inatoka kwenye hizi cortage industry

hata miti wanatengenezea mkuu.
 
minaona bora hizo toothpicks zitoke china ili tusiharibu miti yetu ! maana kuni tu zinateketeza misitu sembuse hizo toothpicks tena hazina umuhimu kivile !
Thinking great!!!??????????????:angry::angry:
 
Back
Top Bottom