mbona kuna kiwanda cha toothpick hapa bongo! btw, hata us kuna viwembe imported, ina maana wao wanashindwa kutengeneza viwembe vya kunyolea ndevu? hayo ndiyo mambo ya soko huria! hizi nazo ni fursa, kiwanda kidogo cha kutengeza toothpicks ni around milioni kumi, fursa hizo!
Magogo yako kwenye list ya "mali asili" upatikanaji wake sasa
kwani utatumia magogo ya mninga, kata miembe na mikaratusi, wachina mbona wananunua miembe kwa watu wanakata tu bila vibali vyovyote! toothpick bora kabisa ni za mianzi, mianzi ni bure tu!
Hiyo machine inapatikana wapi? Vifungashie navyo si issue? Naonaga wasagaji unga TRA wanawapigiza kodi kwenye vifungashio toka Kenya kwa sababu Kenya waliagiza malighafi nje ya East Africa
hehehe...! una utani wa kweli wewe...!
Duhh kweli kizungu kizunguzungu.
Bamboo si Mwanzi,sasa mwanzi sio mti?
Jameni toothpick zinatengenzwa kutokana na bamboo siyo miti
Mie naomba kuuliza kwa mwenye kufahami policy ya Tz kwenye cortage industry ikoje, maana bibadhaa nyingi toka China inatoka kwenye hizi cortage industry
Thinking great!!!??????????????:angry::angry:minaona bora hizo toothpicks zitoke china ili tusiharibu miti yetu ! maana kuni tu zinateketeza misitu sembuse hizo toothpicks tena hazina umuhimu kivile !