- Thread starter
- #21
Sikujua kwakweli. Nashukuru umenijibu kistaarabu sana. Ndio maana ukawa Injinia. Mliosoma Science , Diplomasia na Ualimu huwa ni waungwana sana na huwa hamna mihemko.Kwani ujaona kacheza na timu ya Brazil Jana, Fluminese
Hebu angalia jamaa wa Political science , BA na MASCOM walivyonijibu na KUNITUKANA:
Petty Magambo, Bila bila, Sagai Galgano, Kubwa la Mazuzu, Snow Piecer, Dully jnr, Lukub