Sikujua kwakweli. Nashukuru umenijibu kistaarabu sana. Ndio maana ukawa Injinia. Mliosoma Science , Diplomasia na Ualimu huwa ni waungwana sana na huwa hamna mihemko.Kwani ujaona kacheza na timu ya Brazil Jana, Fluminese
Kunasababu siyo hujumaNimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini.
Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya kusaidiana.
Nimewaza tu
Ndo maana nasema wenye akili mmeongezeka 3...Yaan kacheza Jana leo au kesho unataka aingie uwanjani Tena kwenye mchezo muhimu we jamaa vipi
Kausha basiUngeanza kulalamikia mechi ya Pyramid na Al Alhly kuahirishwa ningekuona wa maana.
Wewe unafuatilia michezo kweli? Ahly kacheza huko klabu bingwa ya Dunia jana tu, ulitaka asafiri acheze kesho? Kuwa siriasi.Nimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini.
Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya kusaidiana.
Nimewaza tu
Aliyeahirisha ni Hersi, rais wa vilabu vyote vya soka Afrika ikiwemo Simba. Aulizwe ana nia ganiNimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini. Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya kusaidiana.
Nimewaza tu
Wewe sio mwanasoka bali ni shabiki mkumbo wa Yanga.Nimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini.
Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya kusaidiana.
Nimewaza tu
Mtani unatufokea?Hata sababu hujui tayari umeshahukumu. Wewe ni Yanga?
hapana ngoja tumpe shule kikubwaaKaomba radhi wadau mwacheni
Pole sana. Ujue na kuupenda mpira kwanza, siyo hivyo ulivyo... Ona hizo aibu sasa.Nikiri sikujua ratiba yao
Hiyo aibu kwani tupo mkutanoni hapa mnaniona nikinyoosha mkono nikauliza hilo swali. Acha hizo wewePole sana. Ujue na kuupenda mpira kwanza, siyo hivyo ulivyo... Ona hizo aibu sasa.
Shinda mechi zako Mzee..Nimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini.
Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya kusaidiana.
Nimewaza tu