Kuahirishwa kwa show za Ipupa: Muziki wake hauvutii japo ana kipaji

Yani wewe mkuu umenisikitisha sana jioni hii, unaamini kabisa Fally wakati yupo kwenye kundi la koffi alikuwa bora !!!!. Kule alikua vizuri ndio lakini most of the time alikua anakua dancer
 
Samahani mkuu,nakubali kuna nyimbo chache ni nzuri sana anastahili kupewa pongezi.Lakini kwa ujumla yuko overrated sana.
Ukifanya utafiti akina mama na mabinti wanspenda nini kwake,asilimia zaidi ya tisini hawatakwambia muziki wake,bali mauno yake na haiba yake
Yani wewe mkuu umenisikitisha sana jioni hii, unaamini kabisa Fally wakati yupo kwenye kundi la koffi alikuwa bora !!!!. Kule alikua vizuri ndio lakini most of the time alikua anakua dancer
 
Aiseee, nimeona clip za Ferre Gola jamaa yupo vizuri sana kwenye rumba, naona kama analandana na Fally kwenye uimbaji wao.....kwani wamewahi kuwa kwenye kundi moja?
 
We jamaa unataka aimbe kwaya?
Unazijua nyimbo zake zote?
Bahati mbaya hata ma DJ wa redio zenu hizi hawana lolote.Huwa Hawajui miziki mingi zaidi ya kukariri tu.
Kofi olomide hajui kuimba tukubali ni ujanja ujanja,wimbo mzima ataongea maneno mawili matatu jb mupiana super vocalist,vocal yake hatar
 
We jamaa unataka aimbe kwaya?
Unazijua nyimbo zake zote?
Bahati mbaya hata ma DJ wa redio zenu hizi hawana lolote.Huwa Hawajui miziki mingi zaidi ya kukariri tu.
So jb anaimba kwaya?koffi kazidiwa kipaji na sauti na jb ila koffi ni enterpreneur anajua kugeuza music kuwa business
 
Hujui muziki mzuri.kwanza unajichanganya,unamponda huku ukimsifia ana sauti nzuri,anacheza vizuri n.k.
 
Upo sahihi sana kaka!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa umeanza kusikiliza mziki jana!? Hivi mziki wa fally ipupa unausikiliza ama unausikia tu.??

Jamaa ni nyooko.
 
Lakini umesahau jambo moja kwamba mwanza ambapo show ilikuwa ifanyike mkuu wa mkoa ametoa amri ya kuzuia mikusanyiko ya aina yeyote. Angethubutu kuruhusu show ya ipupa leo ingeleta balaa kubwa sababu at the same time kuna kongamano la Katina amezuia.

Ndio maana waandaaji wamesema watatoa ratiba mpya hapo mbele.
 
Felistian Ipupa Nsimba anajua huwezi mlinganisha na msanii yoyote wa kizazi chake Congo,kama hujui hata Congo kwenyewe hawawezi kumlinganisha Koff na Fally kwa sababu sio heshima kumlinganisha baba na mtoto, Koff " mlinganisha na Papa Wemba,Defao, Jb , weranson,Awilo,Bozi boziana ,Felix wazekwa na wengineo,Fally ",fere gola,Billy Clinton, Heritie Watanabe, na wengineo
 
Mkuu yawezekana unachanganya muziki na midundo.
 
Huna unalojua kwenye muziki wa Fally Ipupa "Eagre"

Nyie ndio uzuri wa nyimbo upigwe clouds fm au wasafi.

Katafute Album Yake ya Tookos 2 ameitoa mwaka huu February halafu uje kuleta Umbea wako.

 
Tafuta album Yake ya Tookos 2 ameitoa mwaka huu Kuna vibao hatari Sana ...


Sijui mleta mada anamleta Fally Ipupa yupi.


Sasa hivi naisikiliza ngoma iliyopo kwenye hiyo hiyo album inaitwa

Juste une fois amemshirikisha Mkali kutoka ufaransa M. Pokora ... Bonge moja la ngoma.


Huyu mleta mada ni shabiki wa visingeli.
 
Aiseee, nimeona clip za Ferre Gola jamaa yupo vizuri sana kwenye rumba, naona kama analandana na Fally kwenye uimbaji wao.....kwani wamewahi kuwa kwenye kundi moja?
Walikuwa kwa koffi japo ferre alikaa kwa muda mchache zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…