Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 831
Acha uongoJPM angekuwepo huu ujinga usingekuwepo.
Anakubalika kwa watu wasio na akili kama wewe,wenye akili tegemeziNa
Mama kahusika wapi na lini ,acheeni kumdhihaki mama ,taka msitake mama ndio rais na kwa taarifa yako huenda akawa ndio Rais anaekubalika zaidi na watanzania wote hata JK wa 2005 bado hajamfikia
Hadi muda huu tayari kungekuwa na barua za utengezu viongozi wote walio husika na huu uharibifu, mama nyoronyoro, anachekea uzembe na uharibifu.Angekuwepo Magufuli nadhani kuna viongozi wangeshawajibishwa.Kweli tutakukumbuka sana jemedari wetu.
Tff kama chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia soka walitakiwa waishauri wizara juu ya risk ambazo zingetokea baada ya mechi kubadilishwa mda. Hata kama wizara walikuja na hayo mapendekezoTff mnawaonea, usimamizi upo wizara ya michezo ambao ndio umetoa maamuzi.
Na kama wizara ingengataa huo ushauri na kusisitiza game isogezwe saa moja Tff walipaswa kufanyaje mkuu?Tff kama chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia soka walitakiwa waishauri wizara juu ya risk ambazo zingetokea baada ya mechi kubadilishwa mda. Hata kama wizara walikuja na hayo mapendekezo
Ni kweli kabisa upo sawa, ila kwa mpira wetu huu usikute hata sio kanuni labda tu wanaona Karia hayupo upande wao kwahyo wanamkomoa, na inaonekana Rais wa TFF ni Simba ndomana Yanga haijakubali, na ingekuwa Rais ni Yanga Simba ndo wangelianzisha.TFF hawapo sahihi, walitakiwa kufuata maelekezo ya serikali bila kuathiri kanuni zao wenyewe iliwezekana kabisa, kuahirisha game kwa time window km ile ni kinyume na kanuni so kilichotakiwa ni kuongea na pande mbili kuhusu dharula iliotokea na iwapo wanakubali kucheza kwe huo mda mpya au lah na si tu kutoa taarifa as if wao TFF wanalindwa na kanuni kufny hvyo, yanga wamefny kusud coz NI km wana kinyongo na hii TFF,
Magufuli ndo wa kulaumiwa, maana yeye ndo alimchagua Bashungwa kuwa waziri. Hovyo sana yule mzeeWadau
Nimesikitishwa sana na hili tukio la leo
Kuna usumbufu mkubwa kutokana na hili
1. Kuna watu wamelipia kuingia uwanjani..hili litakuaje?
2. Kuna watu walisafiri kutoka mbali?
3.n.k
Je ni kweli Magu kaondoka kaacha kila kitu shakala bagala, yaan ujanja unarudi matokeo yake ndio haya?
Toa maoni yako
Wale ambao hawazijui fursa ndiyo hizo sasaWana sheria wapo pia twendeni mahakamani tuvute mkwanja [emoji4]