Kuahirishwa kwa Simba na Yanga ni failure ya

Kuahirishwa kwa Simba na Yanga ni failure ya

Simba au yanga

  • Simba

    Votes: 6 31.6%
  • Yanga

    Votes: 9 47.4%
  • Simba na yanga

    Votes: 4 21.1%

  • Total voters
    19
Ushahidi hakuna

But its possibly YES she is responsible. Bashungwa Kama Bashungwa ana mandate gani ? ya kutoa maagizo kwa TFF ya ku'postpone ratiba ya mchezo bila kua na sababu nje ya uwezo wake ?
Je ni ipi hio kama sio KITABU

Look, two things are involved here

-Either ni Bashungwa mwenyewe kutaka tuu kuonesh u'hard work kwa kumheshimu mama na event yake
-Or Raisi Samia yeye tuu aliamuru mchezo upelekwe mbele apate nafasi nzuri ya tukio lao hilo au kwa sababu zake nyingine
Nimekuelewa.

Lakini Mara nyingi ni maamuzi ya watendaji(Wizara .....) Either kutokujiamini au kujipendekeza tu.
Ukute Mama wa watu hata hakuwa informed na kama sio mfuatiliaji sana wa Football ukute baada ya hili sakata ndio akajiuliza " Hivi hizi timu ilikuwa zicheze Leo!!".
 
Nani ana shida na nyie o...walikuwa wanaadhimisha birthday ya babu wa 96y....na gari la anasa...fungu la .... Hadi akili iwakae
 
Mambo ya nchi hii mazito sana. Mama naye anatoa gari la anasa kwa kibabu Mwinyi. Hana tofauti na mwendazake aliyekua akiwajengea nyumba za kifahari marais wastaafu. Viongozi wa nchi hii ni rangi moja
 
TFF walipaswa kukaidi maagizo ya Wizara?
Yap,TFF walitakiwa wawaongoze kwenye wizara kuwa kanuni za kufanya mabadiliko ya muda zinakataa,masaa matatu kabla ya mechi kusogeza mchezo mbele ni kukiuka kanuni za bodi ya ligi.
 
Na

Mama kahusika wapi na lini ,acheeni kumdhihaki mama ,taka msitake mama ndio rais na kwa taarifa yako huenda akawa ndio Rais anaekubalika zaidi na watanzania wote hata JK wa 2005 bado hajamfikia
Kwa mawazo yako bwashee hajapigiwa kura huyo unaconclude vipi ivo
 
Wewe kichaa nini?
Mambo ya simba na yanga na tff Magufuli amengiaje?

Huyo dikteta alikuwa anekushikia akili zako zote.
Wajinga kama hao mkuu me huwa Sikawi kuwatukana.. Kama huyo mama wake Magu alikuwa anamuweka mjini asituletee kichefuchefu hapa..
 
Wamezingua mno...Sasaiv kila m2 akiamua lake ktk hii nchi anajifanyia2 cz mama ameshakuwa bibi
 
yanga wamefny makusudi coz wana bifu zao na TFF, TFF ilifny uamuz wa busara kuahirisha kwa masaa mawili badala ya kuusogeza cku nyngne coz watu walishakua uwanjan tayari, ila walitakiwa kuongea na timu zote badala ya kuwaarifu tu coz kanuni za kubadilisha muda zilikuwa zinabana, hapa washabiki ndio wahanga ila mpira wenyewe ndio mhanga mkubwa, hivi km mambo km haya hutokea kwe sekta nyngne km elimu afya na uchumi unaweza ukaona wapi waafrika tunakwama kwe maendeleo,
 
None of above

Lawama mama kweli ameshindwa kutatua hilo suala then game ipigwe, then ange deal na WIZARA na TFF.

Unafikiri angekuwa hayati upuuzi huu ungetokea? Na pale kwasababu watanzania tuna busara ila pale kulikuwa na viashiria vya uvunjaji wa amani nje nje, mtu unapotezewa muda, pesa halafu wenye mamlaka wapo kimya
 
Kwa kilichotokea leo, Simba wapo sahihi, Yanga pia wapo sahihi, TFF nao wapo sahihi, ila Yanga wamefanya mambo ya kitoto
TFF hawapo sahihi, walitakiwa kufuata maelekezo ya serikali bila kuathiri kanuni zao wenyewe iliwezekana kabisa, kuahirisha game kwa time window km ile ni kinyume na kanuni so kilichotakiwa ni kuongea na pande mbili kuhusu dharula iliotokea na iwapo wanakubali kucheza kwe huo mda mpya au lah na si tu kutoa taarifa as if wao TFF wanalindwa na kanuni kufny hvyo, yanga wamefny kusud coz NI km wana kinyongo na hii TFF,
 
Samia should fire minister wa sports kwanza
 
Back
Top Bottom