Nimekuelewa.Ushahidi hakuna
But its possibly YES she is responsible. Bashungwa Kama Bashungwa ana mandate gani ? ya kutoa maagizo kwa TFF ya ku'postpone ratiba ya mchezo bila kua na sababu nje ya uwezo wake ?
Je ni ipi hio kama sio KITABU
Look, two things are involved here
-Either ni Bashungwa mwenyewe kutaka tuu kuonesh u'hard work kwa kumheshimu mama na event yake
-Or Raisi Samia yeye tuu aliamuru mchezo upelekwe mbele apate nafasi nzuri ya tukio lao hilo au kwa sababu zake nyingine
Lakini Mara nyingi ni maamuzi ya watendaji(Wizara .....) Either kutokujiamini au kujipendekeza tu.
Ukute Mama wa watu hata hakuwa informed na kama sio mfuatiliaji sana wa Football ukute baada ya hili sakata ndio akajiuliza " Hivi hizi timu ilikuwa zicheze Leo!!".