Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi?

Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi?

Madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October tunampigia kura Magufuli kwa 98% Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania.
 
Ni changamoto Kama Ndugu ukimkopesha tu akishindwa kulipa anaenda kuomba msaada kwenye ukoo mzima alaf unalazmishwa umsamehe, ukikomaa nae bila kuwasikiliza wanaanza kukutangaz unaroho mbaya
Una roho mbaya na wanaanza kukutenga kabisa. Undugu una changamoto nyingi sana mkuu.
 
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October tunampigia kura Magufuli kwa 98% Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania.
Hakika.
Ej-7oLPWkAAz5wY.jpg
 
Kuna faida na hasara kwa kila upande, naomba tu nitoe maelezo yangu mafupi kuhusu mambo yaliyonisibu.

Nikiwa chuo nilikuwa nikipata boom najaribu ku-balance matumizi ya kawaida kwa siku zote kabla ya kupata boom lingine. Kwa room yetu tulikuwa tukiishi watu wanne na tulikuwa na mchezo wa kuchangiana laki moja kwa kila boom tunampa mmoja kati yetu. Just imagine kama boom ni laki 5 plus laki 3 so ulikuwa unaweza kuwa na laki 8.

Hapo toa chakula elfu 3 kwa siku ndani ya miezi miwili so ulikuwa ukipiga mahesabu unabaki na access kama ya laki 4. Kwa kuwa mimi ni mzee wa ulabu sikutaka kabisa kukaa na hela na hivyo nikawa natafuta fursa kwa wasio shule ili tufanye.

Kati ya watu wanne niliokuwa nikiwapa pesa, wawili kati yao walikuwa ni ndugu na wawili wengine walikuwa ni washkaji tu. Huwezi kuamini washkaji wote walipotea na pesa kama 1.2m ila ndugu mmoja naye alizingua japo kwa sababu za kueleweka japo baadaye alikuja kunipa kiwanja kama malipo ya hasara iliyotokea.

Wale washkaji wote hata simu hawapokei na tangu hapo nikajua ni bora ndugu yako hata ale pesa yako kuliko mtu mwingine.

Nimeanzia mbali ili kuleta uhalisia tu ...
 
Mm nitoe ushuhuda kidogo kwa upande wangu
Mm nimefungua kibiashara kidogo tu cha huduma za sim kwa maana ya uwakala huu ni mwezi wa tatu sasa faida naiyona na inaongezeka kila mwezi kutokana na kuzoeleka kila siku zinavyokwenda.
NB.
1. Kabla ya kufungua biashara nilimuita mzee (baba) nikaweka wazi kuwa dogo akizingua namtimua.
2. Dogo nilimchimba mkwala kuwa lengo tunufaike sote hvy akizingua mm kwangu ni kuchukua mtaji wangu tu.
3. Nafuatilia mm mwenyewe kwa ukaribu wala simuonei muhali
 
Mm nitoe ushuhuda kidogo kwa upande wangu
Mm nimefungua kibiashara kidogo tu cha huduma za sim kwa maana ya uwakala huu ni mwezi wa tatu sasa faida naiyona na inaongezeka kila mwezi kutokana na kuzoeleka kila siku zinavyokwenda.
Okay...
 
Back
Top Bottom