Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi?

Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi?

1. Kabla ya kufungua biashara nilimuita mzee (baba) nikaweka wazi kuwa dogo akizingua namtimua.
2. Dogo nilimchimba mkwala kuwa lengo tunufaike sote hvy akizingua mm kwangu ni kuchukua mtaji wangu tu.
3. Nafuatilia mm mwenyewe kwa ukaribu wala simuonei muhali
Sawa mkuu
 
kuajiri mtu baki kuna ahueni sana katika biashara, ndugu akizingua kumwajibisha mtihani lakini mtu baki unamwajibisha vizuri, niliwahi mweka ndugu duka la spear tena shughuli yenyewe ina maslahi makubwa nje ya mshahara wake, mfano kitu cha 50k ukikiuza 55k or 60k hiyo ziada ni yake bt cha ajabu kila tukipiga hesabu mzigo umepungua pesa hazionekani nikamtoa

nb: ndugu huifanya biashara yako kama mali ya nyumbani hivo huiba kwa kuchukua bt mtu baki huiba kwa akili sana
Mkuu salama? Hii hoja yako imenigusa sana. Naomba tuwasiliane.

Manyerere
0735133332
 
Ukiwa kwenye matatizo naamin sio ndugu wote wataacha kukusaidia tofouti na watu baki..kingine usipomuajiri ndugu yako itakua ni roho mbaya ...naamin kufanya biashara kwa chain ya family ni kutajirisha familia...ndio maana ndugu zetu wapemba na waarabu wengi wako vizur kwa kua wanasapotiana..huez mkana ndugu yako ety kwa kuhisi atakuibia ..we mueke na fatilia biashara ...
 
Back
Top Bottom