Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi?

Sawa mkuu
 
Boss mbona kigezo chako kipo kwenye wizi tu. Hujafikiria vitu vingine au hiyo ndio changamoto kuu.
 
Mkuu salama? Hii hoja yako imenigusa sana. Naomba tuwasiliane.

Manyerere
0735133332
 
Ukiwa kwenye matatizo naamin sio ndugu wote wataacha kukusaidia tofouti na watu baki..kingine usipomuajiri ndugu yako itakua ni roho mbaya ...naamin kufanya biashara kwa chain ya family ni kutajirisha familia...ndio maana ndugu zetu wapemba na waarabu wengi wako vizur kwa kua wanasapotiana..huez mkana ndugu yako ety kwa kuhisi atakuibia ..we mueke na fatilia biashara ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…