Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Jiajiri utaepukana na mateso manyanyaso na kuabudia binadamu asiye na shukran.
Marais na viongozi wetu wanafanyakazi ya ziada Sana. Katika utendaji kazi Kuna Mambo mengi yamefichikamana. Hutaona mapema. Jiajiri na hakikisha unaongeza ujuzi mara Kwa mara kw kile unachoamini utatusua.
Hata kama umesomea kiswahili Kuna jinsi ya kujiajiri. Ubunifu ndio silaha ya maisha ya mafanikio, kujiajiri ni kubuni jambo liweke kwenye maandishi, weka mipango Anza kuifanyia kazi mpango wako.
Unawaona wauza maji, karanga, Azam products wanakosa ufahamu na uvumilivu. Kwa mfano ukipata kuku lazima uvumilie atage mayai, kifaranga kikue, umlishe umpe dawa, awe mumu yule wa sh 15,000 20,000 na kadhalika.
Wauza mboga mboga wanafanya the same. Buni mradi utakuja kutoa ushuhuda