Kuajiriwa ni utumwa; mlio nje ya Ajira Rasmi kazeni Buti. Wenzangu jobless nafasi yenu kwa busara yangu ukajiajiri, utakuja kunishukuru

Kama umejiajiri unafanya biashara, ujue wewe ni mtumwa wa wateja wako.


YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Hakika niwateja wako, na wanakupa cash directly.

Wewe ndiye CEO. Unaamuawewe (decision maker)

Planner ni wewe. Ubunifu ndio kila kitu

Hata kama umeamua kuuza miwa, ukaamua uhamie juice ya miwa, ukabadili uwe na veriaties za soft drinks kama machungwa, ukwaju nk.
 
Motivational speakers bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…