Kuajiriwa ni utumwa

Kuajiriwa ni utumwa

Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.
Hizi story ni rahisi ikiwa mtu anakusimulia tu.
1. Mungu akikutunuku utambuzi na uchambuzi_ huu uzi utakusaidia.
2. Ukipata ndugu/rafiki wa kweli akueleze mambo ktk uhalisia na kukushika mkono pia.
3. nje ya hayo huu uzi sawa na hamna kitu. pita kuleee
 
Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.
Wewe umeishawahi kuajiliwa wapi?
Zipo ajira za kitumwa kama kwenye viwanda vya wahindi vya nguo,unalipwa alfu tatu kwa siku,
Uwe umeajiliwa UN,BOT,mgodini,TRA,Ikulu,unakula milioni SITA kwa mwezi,posho,mikopo kibao,safari za mafunzo nje ya nchi,harafu unasema ni utumwa?basi huu utakuwa utumwa mzuri.
Ajira haiwezi kukuzuia kufanya vitu binafsi,ajira wengine ndio zimetupa mtaji wa kuanzisha makampuni na shughuri binafsi,na sisi tunatoa ajira kwa watu 30+,
Swala la utumwa,inategemea upo kwenye kampuni gani na unalipwa pesa ngapi,
 
Ni kweli lakini tuendelee kuishi humo....maisha kutegemeana.Usikate tamaa ridhika jipangie budget vizuri kulingana na salary yako....maana hata uwe na vidogo sana au vikubwa sana duniani hapa hutoenda navyo.
pumba ya mwaka hii
suala la kwenda halieazwagi na wataftaji wali serious
 
Wewe umeishawahi kuajiliwa wapi?
Zipo ajira za kitumwa kama kwenye viwanda vya wahindi vya nguo,unalipwa alfu tatu kwa siku,
Uwe umeajiliwa UN,BOT,mgodini,TRA,Ikulu,unakula milioni SITA kwa mwezi,posho,mikopo kibao,safari za mafunzo nje ya nchi,harafu unasema ni utumwa?basi huu utakuwa utumwa mzuri.
Ajira haiwezi kukuzuia kufanya vitu binafsi,ajira wengine ndio zimetupa mtaji wa kuanzisha makampuni na shughuri binafsi,na sisi tunatoa ajira kwa watu 30+,
Swala la utumwa,inategemea upo kwenye kampuni gani na unalipwa pesa ngapi,
Akili ya kitumwa imefungwa na minyororo ya chuma almaatufu mshahara.

Yaani we kulipwa mshahara wa m6 ndio mwisho wako wa kufikiri kweli?

Nchi ina vijana wa hovyo.

Ndo maana maskini duniani hawataisha.

Hakuna tajiri alietajirika kwa kupewa mshahara na mwanaume meenzake[emoji16]
 
Tatizo sio kuingiza kiasi gani we utakuwa mbumbu na unatetea upuuzi bora kuingiza buku yangu kuliko kutumia akili yangu kumuingizia million mwajiri wangu. Hapa kinachozungumziwa ni utumwa wa kifikra sio kuingiZa kiasi fulani cha pesa. Kuna watu wako na hela Ila hawana imani ya moyo. Ni sawa na kumiliki pesa za majini zinakuendesha we unaona mtu yuko bomba kumbe anateseka... kuajiriwa ni utumwa. Me sijali hata kama unamiliki kiwango gani cha pesa we kama umeajiriwa na kuona kam mwanamke aliyeolewa au anayedanga maana bila danga hapati mikwanja ila me naingiza buku binafsi haina kelele... situmikishwi. We endelea kupambana
Ko wewe ukiingiza 100,000 kwenye genge na alieajiriwa anapata mil 2 labda unaona anaepata 100,000 ndio sio mtumwa?

Kwahiyo nazani ni ufinyu wako wa fikra,pia kwahiyo daktrari ni mtumwa wa kifikra? ,manesi,waalimu ?

Sasa,

Kama hauna uhuru wa kifedha ni mtumwa wa fedha tu uwe umeajiriwa au hujaajiriwa

Kumbuka asilimia kubwa ya matajiri unaowaona mjini walianzia kwenye utumwa unaousema wa ajira , lakini wakajifunza misingi .

Kwahiyo hakuna kanuni maalumu
 
😁 sawa umejibu kwa usahihi.. ila hakuna tajiri aliyeajiriwa kijana
 
😁 sawa umejibu kwa usahihi.. ila hakuna tajiri aliyeajiriwa kijana
Ni kweli kabisa , pia kujiajiri hakukuhakishii kuwa tajiri, unaweza kuwa umejiajiri ukawa masikini tu miaka nenda rudi unaambulia kula na kusomesha tu

Hakuna uhakika 100%

Ila kujiajiri kunaweza kukakufanya ukawa tajiri ila ajira ni asilimia ndogo sana kuwa tajiri sana kwa ajira ,ndogo sana tena maranyingi labda ufanye kazi huko IMF , world bank tena international positions

Vile vile kujiajiri kutoboa ni jasho la damu .

Mimi nimekaa pande zote mbili

Najua husle za kujiajiri na husle za ajira

Sitetei upande wowote

Kwa maisha ya kiafrika nazungumzia
 
Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.
Kama mitihani ingekuwa rahisi kama unavyo chukulia mambo, wa mwisho angepata B
Jitafakari!
 
Back
Top Bottom