Hizi story ni rahisi ikiwa mtu anakusimulia tu.Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.
Kwaiyo ukiwa umejiari mteja biashara yako ikipata dharula saa nane usiku hutoenda?Mrejesho gani.. me nimejiajiri siendeshwi .. kuajiriwa utumwa maanake huwezi kuwa huru. Mwajiri wako akikuhitaji saa nane usiku lazima uende mzee
Bora naenda kwa mteja wangu sio kwa bossKwaiyo ukiwa umejiari mteja biashara yako ikipata dharula saa nane usiku hutoenda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Messi na mwingulu 😁 we kijana chunga sana watu wasijetambua kuwa una akilikumbe Mwigulu Nchemba, Messi na waajiriwa wengine kama hao ni maskini eeh?
Umeandika nini mkuu, mbona kama hueleweki.Messi na mwingulu 😁 we kijana chunga sana watu wasitambua kuwa una akili
Wewe umeishawahi kuajiliwa wapi?Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.
Kama umejiajiri ukienda unarudi na hiyo pesa mfukoni ila kama umeajiriwa hiyo pesa haikuhusu na usipokwenda unafukuzwa kazi[emoji16]Kwaiyo ukiwa umejiari mteja biashara yako ikipata dharula saa nane usiku hutoenda?
Sent using Jamii Forums mobile app
pumba ya mwaka hiiNi kweli lakini tuendelee kuishi humo....maisha kutegemeana.Usikate tamaa ridhika jipangie budget vizuri kulingana na salary yako....maana hata uwe na vidogo sana au vikubwa sana duniani hapa hutoenda navyo.
Akili ya kitumwa imefungwa na minyororo ya chuma almaatufu mshahara.Wewe umeishawahi kuajiliwa wapi?
Zipo ajira za kitumwa kama kwenye viwanda vya wahindi vya nguo,unalipwa alfu tatu kwa siku,
Uwe umeajiliwa UN,BOT,mgodini,TRA,Ikulu,unakula milioni SITA kwa mwezi,posho,mikopo kibao,safari za mafunzo nje ya nchi,harafu unasema ni utumwa?basi huu utakuwa utumwa mzuri.
Ajira haiwezi kukuzuia kufanya vitu binafsi,ajira wengine ndio zimetupa mtaji wa kuanzisha makampuni na shughuri binafsi,na sisi tunatoa ajira kwa watu 30+,
Swala la utumwa,inategemea upo kwenye kampuni gani na unalipwa pesa ngapi,
Mrejesho gani.. me nimejiajiri siendeshwi .. kuajiriwa utumwa maanake huwezi kuwa huru. Mwajiri wako akikuhitaji saa nane usiku lazima uende mzee
Sawasawapumba ya mwaka hii
suala la kwenda halieazwagi na wataftaji wali serious
Ko wewe ukiingiza 100,000 kwenye genge na alieajiriwa anapata mil 2 labda unaona anaepata 100,000 ndio sio mtumwa?Tatizo sio kuingiza kiasi gani we utakuwa mbumbu na unatetea upuuzi bora kuingiza buku yangu kuliko kutumia akili yangu kumuingizia million mwajiri wangu. Hapa kinachozungumziwa ni utumwa wa kifikra sio kuingiZa kiasi fulani cha pesa. Kuna watu wako na hela Ila hawana imani ya moyo. Ni sawa na kumiliki pesa za majini zinakuendesha we unaona mtu yuko bomba kumbe anateseka... kuajiriwa ni utumwa. Me sijali hata kama unamiliki kiwango gani cha pesa we kama umeajiriwa na kuona kam mwanamke aliyeolewa au anayedanga maana bila danga hapati mikwanja ila me naingiza buku binafsi haina kelele... situmikishwi. We endelea kupambana
😁 sawa umejibu kwa usahihi.. ila hakuna tajiri aliyeajiriwa kijanaKo wewe ukiingiza 100,000 kwenye genge na alieajiriwa anapata mil 2 labda unaona anaepata 100,000 ndio sio mtumwa?
Kwahiyo nazani ni ufinyu wako wa fikra,pia kwahiyo daktrari ni mtumwa wa kifikra? ,manesi,waalimu ?
Sasa,
Kama hauna uhuru wa kifedha ni mtumwa wa fedha tu uwe umeajiriwa au hujaajiriwa
Kumbuka asilimia kubwa ya matajiri unaowaona mjini walianzia kwenye utumwa unaousema wa ajira , lakini wakajifunza misingi .
Kwahiyo hakuna kanuni maalumu
Kwaiyo hulipwi kwa hiyo ajira?Kama umejiajiri ukienda unarudi na hiyo pesa mfukoni ila kama umeajiriwa hiyo pesa haikuhusu na usipokwenda unafukuzwa kazi[emoji16]
Messi na Ronaldo ni masikini?[emoji16] sawa umejibu kwa usahihi.. ila hakuna tajiri aliyeajiriwa kijana
Ni kweli kabisa , pia kujiajiri hakukuhakishii kuwa tajiri, unaweza kuwa umejiajiri ukawa masikini tu miaka nenda rudi unaambulia kula na kusomesha tu😁 sawa umejibu kwa usahihi.. ila hakuna tajiri aliyeajiriwa kijana
we ni messi au Ronaldo...lete mifano hai. Ata hivo messi sio mtumwa anaweza kuacha mpira na kufanya mambo mengine. Au unajua maana ya UTAJIRI au umaskini?Messi na Ronaldo ni masikini?
Kama mitihani ingekuwa rahisi kama unavyo chukulia mambo, wa mwisho angepata BNi vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea ,
Kujiajiri ni maamuzi.