Kama mitihani ingekuwa rahisi kama unavyo chukulia mambo, wa mwisho angepata B
Jitafakari!
😁😁😁 duuh akili zako . Kuna akili na elimu kijana we endelea kukariri
Ni kweli kabisa , pia kujiajiri hakukuhakishii kuwa tajiri, unaweza kuwa umejiajiri ukawa masikini tu miaka nenda rudi unaambulia kula na kusomesha tu
Hakuna uhakika 100%
Ila kujiajiri kunaweza kukakufanya ukawa tajiri ila ajira ni asilimia ndogo sana kuwa tajiri sana kwa ajira ,ndogo sana tena maranyingi labda ufanye kazi huko IMF , world bank tena international positions
Vile vile kujiajiri kutoboa ni jasho la damu .
Mimi nimekaa pande zote mbili
Najua husle za kujiajiri na husle za ajira
Sitetei upande wowote
Kwa maisha ya kiafrika nazungumzia