Kuajiriwa Tamisemi na Wizara kupi kuna maslahi na malupu lupu bora kwa mwajiriwa??

Wataalaam

Naomba majina
mtihani huu wa kuchagua kazi ati wapi kuna nini wapi hakuna, umewafanya vijana wengi sana kuendelea kusota na bahasha mkononi na online kusaka ajira....

walio kubali kuanza na utendaji wa kujijji, kisha wakapanda utendaji wa kata baadae wakaingia utumishi halmashauri, leo hii wanainjoy kwenye mashirika makubwa ya umma na mawizara mbalimbali, kwa utuliiivu kabisa ...
 
sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…