Tamisemi na wizarani Ina tofauti Gani?
Watu wa afya ndo wanambwembwe za kujiita wizara Kwa waliojiriwa kwenye hospital za rufaaa za mikoa, Kanda, vyuo nk.
Hospital za wilaya, vituo vya afya na zahanati ndiko tamisemi.
Ndugu yangu, kama hauna digrii achana na wizara, wa wizara wanapiga noti ni watu wazito.
Nenda halmshauri kama kaelimu kako ni sungura, huko tamisemi utapga chanjo, seminar kibao na michongo mingi sana. Kila zahanati hupewa fungu lake na mnakuwa wachache.
Huko wizarani tuchukulie hosp ya rufaaa Seiko toure wanaokula maisha hawazidi kumi. Mkurugenzi mwenyewe, na wakuu wa idara.
Kama wewe ni daktari bingwa nenda wizarani.