inaelekea we bado ni kijana mdogo na hujasota mtaani kusubiria ajira! Unachagua muajiri mwenye mshahara mkubwa na marupurupu juu akili unazo kweli? Kwanza elewa scale za mishahara za serikali ziko sawa kwa kiwango cha elimu na kada uliyosomea tofauti ni umri wa kuwa kazini tu ndiyo hutofautia mshahara. Unataka kazi pokea, habari za marupurupu utazikuta kazini kwako, acha ushamba kuchagua muajiri mishahara iko sawaWataalaam
Naomba majina
sawa ikifika saa1 nitaacha huo ushambainaelekea we bado ni kijana mdogo na hujasota mtaani kusubiria ajira! Unachagua muajiri mwenye mshahara mkubwa na marupurupu juu akili unazo kweli? Kwanza elewa scale za mishahara za serikali ziko sawa kwa kiwango cha elimu na kada uliyosomea tofauti ni umri wa kuwa kazini tu ndiyo hutofautia mshahara. Unataka kazi pokea, habari za marupurupu utazikuta kazini kwako, acha ushamba kuchagua muajiri mishahara iko sawa
Mimi naona atleast wizarani uko TAMISEMI wadau umu wanalalamika ukipata mchongo wa wizarani nishtue mwanangusawa ikifika saa1 nitaacha huo ushamba
Na wewe ukipata shavu unavuta wadau sawa dogo?hii ndo comment nataka watu wawe wakwel
Wanaishia kuvuta bangi tu na ulevi wa master.huko kuna mshikaji wangu yupo hamna lolote analopata
Huu ushauri upo kitaalam sana!Tamisemi na wizarani Ina tofauti Gani?
Watu wa afya ndo wanambwembwe za kujiita wizara Kwa waliojiriwa kwenye hospital za rufaaa za mikoa, Kanda, vyuo nk.
Hospital za wilaya, vituo vya afya na zahanati ndiko tamisemi.
Ndugu yangu, kama hauna digrii achana na wizara, wa wizara wanapiga noti ni watu wazito.
Nenda halmshauri kama kaelimu kako ni sungura, huko tamisemi utapga chanjo, seminar kibao na michongo mingi sana. Kila zahanati hupewa fungu lake na mnakuwa wachache.
Huko wizarani tuchukulie hosp ya rufaaa Seiko toure wanaokula maisha hawazidi kumi. Mkurugenzi mwenyewe, na wakuu wa idara.
Kama wewe ni daktari bingwa nenda wizarani.