Uchaguzi 2020 Kuambiwa kwamba si Raia wa Tanzania, ni kashfa kubwa kwa Tundu Lissu na familia yake

Mzee wa lupaso alituwekea dereva feki dereva kanjanja abiria wamegutuka wameingizwa Chaka miba.
 

Hawawezi faulu Hilo October maamuzi ni mawili kurudi Chato au kwenda the Hague achague kipi rahisi kwake.
 
Inahitaji nguvu ya mabavu kumtoa mtanzania kwenye utumwa wa upumbavu na mawazo
 
Kuna maneno pia kwamba magufu hakuzaliwa Tanzania
 
Mbelgiji amekuja kuhakikisha amani yetu inaondoka yaani yeye kila akisimama jukwaani hana kauli za amani ni Shari tu,

Mara ooh patachimbika,

Kitaeleweka,

Tutaingia barabarani,

Tutawapeleka ICC.

Huyu mtu ana matatizo sio bure.
Atawapa stroke kweli, Mungu wa haki yupo!!!
 
Mkuu wala siyo ajabu yeyote naye dai haki na kutishia uwepo wa CCM huwa anapewa tuhuma hizo.
Na hio imewaathiri sana wakazi wa mikoa ya Kigoma, Kagera na Mara ambao mitazamo yao inapingana na ile ya chama tawala. Kumbuka yaliyompata askofu Severine Niwemugizi wa jimbo la Rulenge Ngara, alipokosoa utawala huu akaambiwa apeleke credentials za kuonesha uraia wake.
 
Niliwahi kutoa Uzi wangu.Nikiomba Tindu Lissu ,ajibu hii tuhumu ,hapa JF.Kwani naamini yupo.Kwa kuambiwa kuwa si RAIA.Ili kuweka mambo sawa.Baada ya Katambi kudai hivyo.Na Lissu kukaa kimya.Lakin MODS waliondoa Uzi huo Mara moja.So kuelewa kwanini walifanya hivyo.
 
Unaandika takataka gani sasa hii. Very silly.
 
Mbelgiji amekuja kuhakikisha amani yetu inaondoka yaani yeye kila akisimama jukwaani hana kauli za amani ni Shari tu,

Mara ooh patachimbika,

Kitaeleweka,

Tutaingia barabarani,

Tutawapeleka ICC.

Huyu mtu ana matatizo sio bure.
Huyu katumwa na Mungu kuja kutukomboa Watanzania kutoka mikononi mwa wakolini weusi(ccm). Pia Jiwe katumwa na Mungu kuiua ccm

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
sio kashfa ni porojo za kisiasa ambazo hazimsaidii mtanzania maskini
 
Huu uzi unakiri kwamba serikali ya magufuli ni dhaifu katika nyanja mbalimbali ikiwemo intelijensia. Mbali na kutojua nani anaua watanzabia coco beach intelijensia yake hainaweza kubaini mhamiaji haramu hadi kapewa nafasi ya kuombea urais. Shame!!
 
Hata kama angekuwa ameseek asylum bado ni Mtanzania..mataga jiandaeni kisaikolojia 28/10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…