Kuamka ukiwa umechanjwa shingoni (imezungukwa yote) mbavuni na mapajani Ina maana gani?

Hatari sana
Muathirika Sasa kichwa na mwili vinamuuma sana. Hospitali Bado hawajaona kitu mpaka Sasa. Wakati hiyo Hali inamtokea mwanzoni aliamua kutulia tu (kama mtoto wa kiume) akijua ni vijimambo vya hapa na pale ambavyo vitapita hivyo hakuona haja ya kuwastua wazazi walio mbali na huko chuoni anakosoma. Ni dogo tu anayesoma kwa tabu asiye na chochote. Sijui shida ni nini walimwengu hawa?!!!!!😡😡😡😡😡
 
hayo mambo ya uchawi mi huwa siyaamini Sana!
Siku za nyuma kuna suruali nilivaa Kumbe ina vichuma vimechomoza vikanichanja vimistari kama vinne hivi kiunoni kumuonesha rafiki yangu kaniambia nimechanjwa na wachawi🤔🤔,nikapanick hapo nikampigia bi mkubwa kumueleza mama wa watu kaanza kufunga na kuomba mwanae nachezewa na wachawi,mi nakuja kugundua baadae Sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo hizo mambo Sio vya kuchukulia serious Sana!!
 
Amefanyiwa kitendo cha kishirikina kupitia nguvu za giza/uchawi/amelogwa na wachawi nguvu za kuzimu za giza.
DAWA PEKEE INAYOWEZA KUMPONYA.
Ni kuombewa kwa JINA LA YESU lipo jina moja tu tulilopewa wanadamu linaloweza kutuookoa na kutuponya wanadamu wote.kutoka nguvu za giza na kutuhamisha na kutuingiza katika pendo lake.
 
Dogo yamemkuta hayo mambo mara kadhaa jamani. Ni uchawi wenye tafsiri gani huu?!!!! Mbona maisha yanakera namna hii!!!!!!😡😡😡😡
Mwambie awe anakata kucha na kuziweka vizuri ili zisibaki na ule ukali, akilala akijikuna zisimkwangue na kumuacha na hizo alama anazoziona.
 
Amefanyiwa kitendo cha kishirikina kupitia nguvu za giza/uchawi/amelogwa na wachawi nguvu za kuzimu za giza.
DAWA PEKEE INAYOWEZA KUMPONYA.
Ni kuombewa kwa JINA LA YESU lipo jina moja tu tulilopewa wanadamu linaloweza kutuookoa na kutuponya wanadamu wote.kutoka nguvu za giza na kutuhamisha na kutuingiza katika pendo lake.
Sawa
 
Back
Top Bottom