Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,620
- 6,780
Mwambie ajaribu hapo kwanza kabla hajaivusha akili yake kwenye maeneo mengine coz nimeshawahi kupatwa na hiyo kitu ila baadae nikagundua chanzo ilikua ni hiyo, nilikata kucha ila sikuzikwangua.Ujanja wa kizamani huu we mbwiga!
Thou za namna hii huwa zinakua ndefu na haziwi katika mpangilio, ila kama hizo zake ni ndogo na zipo kwenye mpangilio basi inaweza kuwa ni something else.