Mwambie ajaribu hapo kwanza kabla hajaivusha akili yake kwenye maeneo mengine coz nimeshawahi kupatwa na hiyo kitu ila baadae nikagundua chanzo ilikua ni hiyo, nilikata kucha ila sikuzikwangua.Ujanja wa kizamani huu we mbwiga!
Hizo sasa ndio tabia halisi za wanaccm, ni ushirikina mwanzo mwisho!Muathirika Sasa kichwa na mwili vinamuuma sana. Hospitali Bado hawajaona kitu mpaka Sasa. Wakati hiyo Hali inamtokea mwanzoni aliamua kutulia tu (kama mtoto wa kiume) akijua ni vijimambo vya hapa na pale ambavyo vitapita hivyo hakuona haja ya kuwastua wazazi walio mbali na huko chuoni anakosoma. Ni dogo tu anayesoma kwa tabu asiye na chochote. Sijui shida ni nini walimwengu hawa?!!!!!😡😡😡😡😡
Kama anayo tabia ya kung'ata sana kucha ajichunguze vizuri atagundua kwamba sio chale bali ni michirizi inayotokana na kujikuna na kucha zilizochongoka.Dogo yamemkuta hayo mambo mara kadhaa jamani. Ni uchawi wenye tafsiri gani huu?!!!! Mbona maisha yanakera namna hii!!!!!!😡😡😡😡
Hili jukwaa limejaa watoto sana hili.Kama anayo tabia ya kung'ata sana kucha ajichunguze vizuri atagundua kwamba sio chale bali ni michirizi inayotokana na kujikuna na kucha zilizochongoka.