Joe Milla
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,622
- 2,897
Mkuu hapa wamegusia ushauri wako😁😁😁Haya sasa twende kazi; Kimbia haraka sana nenda kamtoe mtoto wako kwenye shule ya English Medium kisha mrudishe Kayumba. Thank me later 🙏🙏🙏🙏
Mkuu hapa wamegusia ushauri wako😁😁😁Haya sasa twende kazi; Kimbia haraka sana nenda kamtoe mtoto wako kwenye shule ya English Medium kisha mrudishe Kayumba. Thank me later 🙏🙏🙏🙏
Dah! Nikiwa Seminary nilipgwa na fyekeo kama fimbo. Nilipgwa fyekeo kama around 20 huko kwa kosa tu lakuechelewa shambani. Tangu siku hiyo niliwachukia sana MaPadre dadeki. Jamaa wakisimama kwenye madhabahu kama watu ila wanaroho mbaya sana. Kwa kweli tumefundishwa na kulelewa na waalimu wakatili sana kiasi kwamba unaichukia shule somo au mwalimu.Ukubwani watu wanaota sana mambo yaliyotokea shule na mitihani, wasoma ndoto na prophets uchwara wanawaambia ohh sijui hii ni dalili ya kukumbwa na mitihani kimaisha sijui nini nini….
Ukweli ni kwamba shule zimetu-traumatize wengi wetu kiasi kwamba ubongo usiku ukitaka ukushtue unafunua mafile ya shule.
Kwanza tumespend muda mrefu sana mashuleni tukisoma, pili worst experiences za utotoni-hadi u-teenage zote tumezipitia shuleni, Plus our “supposed to be” secondary-care givers (walimu) Were the most narcissistic people we have ever met………….
Most of us tumechukia shule kwaajili ya mambo kama hayo….. ikiwemo kuamka mapema sana katika umri mdogo. Watoto wadogo wana associate “kitu cha kulazimishwa” na kitu cha kutisha….
Hongera mleta mada, uzi mzuri.
Kawashtaki kuwa wanakupigia keleleNina jirani yangu ana vitoto vi 3 kavizaa kwa kufuatana. Ni vidogo vidogo tu.
Yaani hiyo nyumba, saa 11 kamili ya asubuhi familia nzima imeamka, halafu wana kelele balaa.
Katoto kadogo kama miaka 2 nako kila siku saa 11 kapo macho, kameshazoea.
Makelele yakianza sasa achaa.
AiseeLeo kumekuwa kunatembea clip ya jamaa dereva wa bajaji kuuwawa baada ya kukutwa public toilet anabaka mtt wa kiume wa darasa la 5. Watu walikuwa wanamfuatilia kumbe ndio kawaida yake anamchkua huyo mtt na bajaji kumpeleka na kumrudisha shule na kwenye hio kawaida ndio alikuwa ana take advantage ya kufanya huo uchafu wake.
Moja katika ushauri aliotoa jamaa aliekuwa anachkua hio clip ni wtt kutokusoma shule za mbali sana pasi na kuwepo usafiri wa uhakika.
Ulichosema ni sahih kabisa, tena ubaya zaidi kuna wazazi muda huo wa saa 11 au 12 alfajiri wanawaachia wtt wadogo wenyewe kwenda vituo vya basi pasi hata na kuwa na waswas na wtt wao.
Imagine mpk mtt anafika kuharibiwa mzazi hana habari, mpk kuna watu nje ndio wamegundua kama kuna mwenendo sio wa kawaida btn mtt na dereva bajaji
ChaiHii project ya PRIVATE SCHOOLS, mnufaika ni mmiliki wa shule.
Pumba tupu.Tatizo ni serikali pumbavu ya ccm...tulisha eleza watu hapa kuusu shule ...watu wengi wakiwemo walimu na wazazi wapumbavu wanadhani elimu ni mateso hivyo kumpa mtoto elimu bora ni kumpitisha kwenye mateso kumbe elimu inatakiwa kuwa ni sehemu ya maisha na furaha na burudani siyo mateso...shule yenye kujielewa inatakiw kuanza masomo saa 2 na nusu na kumaliza masomo saa 7, mwanafunzi anatakiwa kila siku shuleni atumie masaa 4 tu kujifunza .... la sivyo tutatengeneza kizazi cha ajabu cha kifisadi na kibinafsi ..kisicho jali wengine ...kidato cha 5 na 6 zifutwe ..elimu ya shule ya msingi iboreshwe iwe sawa na form 2 mwanafunzi asome kwa miaka 8 elimu ya msingi ambayo itakuwa sawa na kumaliza form 2
Akili za kimasikini sana hizo.Mmiliki wa shule akiona kuna gari mpya imeingia na anaitaka, wala hapati shida. Anaanzisha project kibao ili akusanye pesa ya kununua hiyo gari.
Project zao ni hizi..
1. Holiday package
2.Tuition...hata mtoto wa darasa la kwanza utalazimishwa ulipie
3. Kwenda makumbusho
4.kwenda beach
AiseeYani mtoa mada umenigusa sana, kuna wazazi wajinga sana wanakaa Nguvu Kazi Chanika, nyie wazazi mna watoto wawili mapacha mmoja wa kiume na mmoja wa kike,acheni kuwatesa hao watoto wenu
Kabla sijahama Chanika nilikutana na hawa watoto pale Karume,mida ya saa mbili usiku,usafiri ni shida kwa kawaida mida hiyo watu wazima wenyewe wanagimbania daladala balaa,wana,namshukuru Allah amenijalia huruma sana,nikachukua jukumu la kuhakikisha naondoka nao,iwe jua iwe mvua,nikapambana tukaingia kwenye daladala.
Mmoja darasa la tatu na mmoja la nne,wanasema wanaamka saa tisa usiku kujitayarisha kwenda shule,eti vitoto vya primary vinaamka saa tisa usiku,halafu wanarudi nyumbani saa 2 au saa tatu usiku,siku hiyo tumerudi saa nne usiku
Mpaka abiria wakawa wanasema hivi mzazi unakula chakula kabisa wakati wanao mpaka saa tatu au nne usiku hawajarudi nyumbani? Halafu kibaya zaidi wakifika kituoni usiku huo wanapanda boda yoyote watakayo ikuta,je wakifanyiwa mambo ya ajabu?
Kiukweli siku ile nilitamani niende nao kwao nikaonane na wazazi japo niwape ya moyoni,ndani ya basi masikini vimelala Hoi mpaka huruma
Kingine usiku ule wanasoma zanaki,kwahiyo watembee kwa miguu wapite fire,kariakoo mpaka karume na mibegi mizito kweli kweli,bado purukushani za boda boda au magari wakiwa njia kuelekea karume
Wazazi muache kuwatesa watoto,kama nyie wazazi mpo huku mna watoto mapacha wanakaa Nguvu kazi ebu wahurumieni hao watoto wenu.
nime cheka sana, woii 😂😂Tukiachana na blah blah zingine, tutafute hela wakuu… naifahamu familia moja mitaa ya masaki, watoto wao wanaenda shule mara 3 kwa wiki.
😂 Cheka tu shem.nime cheka sana, woii 😂😂
Dah! 😭Dah! Nikiwa Seminary nilipgwa na fyekeo kama fimbo. Nilipgwa fyekeo kama around 20 huko kwa kosa tu lakuechelewa shambani. Tangu siku hiyo niliwachukia sana MaPadre dadeki. Jamaa wakisimama kwenye madhabahu kama watu ila wanaroho mbaya sana. Kwa kweli tumefundishwa na kulelewa na waalimu wakatili sana kiasi kwamba unaichukia shule somo au mwalimu.
Dah! Nikiwa Seminary nilipgwa na fyekeo kama fimbo. Nilipgwa fyekeo kama around 20 huko kwa kosa tu lakuechelewa shambani. Tangu siku hiyo niliwachukia sana MaPadre dadeki. Jamaa wakisimama kwenye madhabahu kama watu ila wanaroho mbaya sana. Kwa kweli tumefundishwa na kulelewa na waalimu wakatili sana kiasi kwamba unaichukia shule somo au mwalimu.
Kayumba ndo kichefu chefu zaidi siku hizi!Haya sasa twende kazi; Kimbia haraka sana nenda kamtoe mtoto wako kwenye shule ya English Medium kisha mrudishe Kayumba. Thank me later 🙏🙏🙏🙏
Akili za vijambio vya ccm ndiyo vinaona pumba 😁Pumba tupu.
🚮Akili za vijambio vya ccm ndiyo vinaona pumba 😁
Lakini pia lifestyle inatusukuma huko, baba anatoka na mama anatoka kutafuta mtoto kumuacha na house girl mtihani mtupu mara yupo mara hayupoSometimes wazazi huwa tunasukumwa na pressure za society kijinga sana pasipo kuzingatia afya na ustawi wa mtoto kwa ujumla.
Mtanashati 👌😁😏 au siyo .. na kale kamsemo kenu ka kianithi mnasemaga ...👉bora wanitukanie baba yangu kuliko mama yangu 😏
Home schooling haifai hata kidogo ni ushetani. Mtoto anatakiwa kujichanganya na wenzake ili acheze na akue vizuri.Kayumba ndo kichefu chefu zaidi siku hizi!
Natamani bongo walete mfumo wa home schooling
Hawa walimu wamegeuza watoto mitaji!