Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hao hao
Aiseee!!! Sorrry my dear mimi nia yangu uone wewe tu. Sasa itakuwaje?? Embu nifundishe kuitoa....basi farijika na hii..
Umenikumbusha lile tangazo la Coca Cola katika World Cup
Binti: We Won!! We Won!! We Won!!
Njemba: But it's only half time?!
Binti: Ooooooh.. [huku akiona aibu kinoma noma]
Huyu ni Chelshit ona alivyonirushia hii picha....
Yamekuwa haya tena? mtu wangu hata wewe unatupatia kibano tena maweeee!
Umelenga penyewe mkuu, kama wanaume kuhudhuria Netiboli pale Railway Gerezani.
MKE NA MUME WAKIANGALIA MECHI YA ARSENAL NA CHELSEA:
WIFE: Baby, yule ni nani? Ni Chris
Brown??
HUSBAND: Yule ni Theo Walcott
WIFE: ile Yellow Card ni ya nini?
HUSBAND: ile ni ya Onyo, na Red Card
inamaanisha mchezaji atoke inje ya uwanja.
WIFE: Oooooh! Inakaa kama traffic light!
Yellow- Ilani na Red - Simama
HUSBAND: Yeah yeah swity! Ndio hivyo.
WIFE: Na je Green Card??
HUSBAND: Aaaah! Hiyo haipo.
WIFE: Nataka Arsenal ishinde world cup.
HUSBAND: [kimya]
WIFE: Ni nani yule mzee anafanana na
Mr. Bean??
HUSBAND: Yeees swity, yule ni kocha wa
Arsenal, anaitwa Arsene Wenger.
WIFE: Oooooh! inamaanisha yule kocha
mwengine ni Chelsea Wenger??
HUSBAND: [Kabadilisha channel]